Wakuu msaada wa laptop yangu hp dv9000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu msaada wa laptop yangu hp dv9000

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by drphone, Feb 3, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakuu naombeni msaada laptop yangu imekuwa kmeo kila nikiwasha inawasha taa za blue tu baada ya sekunde inazima akuna kinachoendelea nimebahatika kuwaona wataalamu wawili wananiambia akuna jinsi aiwezi kupona cjakubali najua hapa kuna vichwa vikali nataraji kupata msaada
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mkuuu maelezo yako yameekaa kama vile tunajiua hiyo laptop, . I meana hayatoshi. but hao wataaalam walikwambia ina tatizo gani .? Kusema tu hawezi kupona sio jibu la kitaalam waulze nini kimekufa. kwa malezo hayo machache nahisi ni hadrware failure lakini wich hardware ndio kazi

  Lakini kimbilio wa kwanza download kitabu cha hiyo kompyuta nenda kwenye kipendegele cha troubleshooting ujue. nini hasa linaweza kuwa tatizo.

  Otheriwise Inawezekana

  • Power supply inayotakiw akusambza moto kwenye MOBO imekufa au ina
  • Inawezekana hata fan imekufa so inajizima kiusalama zaidi
  • Inawezekana power adaptor yake inakufa azima power adoptor nyingine utest.
  • Inawezekana ............... ziko sababu nyingi
  tafuta fundi mwenye tester na vifaa maalum aifungue na kupima na akumbie imekufa nini. Matatzi mengie hayatatuliki kwa keboard tu.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hizi machine nasikia ndio matatizo yake na inakuwa imekufa motherboard najaribu kufatilia mana mwenyewe pia nina ufahamu kidogo asa kwa hardware ndomana naitaji mawazo kutoka kwa wadau tofauti na nimetafuta kwenye mtandao inaonyesha haya matatizo ni sugu kwa hizi model so naendelea kusoma maelezo ya troubleshooting mkuu sorry kama maelezo hayakujitosheleza ni kwamba haiwaki wala haifanyi kazi na ukichomeka chaji inaonyesha kama inachaji lakini ukiwasha inawasha taa za blue kama inataka kuwaka lakini sec tu inazima mkuu hope umenielewa sasa
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa mkuu basi hao mafundi waliosema imekufa hawako sahihi .. kama ni known problem basi ni tatizo la hardare na hope utapata soltion.

  good luck
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu nakomaa najua soon nitakuja na good news hapa
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakati unawasha kuna chochote kina display kwenye screen? Je kuna mlio wowote unausikia?

  Je mara ya mwisho kuitumia ni lini?
   
 7. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  What happened Dr? from there one can extrapolate
   
 8. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hello kiongozi! Pole sana kwa masahibu yaliyokukuta,Kwa kifupi nimeexperience Tatizo kama hilo kama miezi mitatu iliyopita with HP PAVILLION DV6000,Baada ya kuangaika nayo sana nilikuja kugundua ni motherboard defect ambayo imetoka nayo kiwandani,na baada ya kugoogle nilikutana na articles nyingi zenye kuonyesha kuna HP PAVILLION DV series(AMD MOTHERBOARD) ambazo zinatatizo la motherboards,so kiongozi jaribu kutroubleshoot thoz common hardwares (RAM,HARD DISK,PROCESSOR,FAN,POWER SUPPLY JACK AND SCREEN) Ikiwa all of these are ok,then mkuu probably u got one of thoz weak motherboard realese from HP,kwa makadirio ya chini gharama ya hiyo motherboard mpya mpaka inakufikia ni USD 250...Am very sorry 4u ....But endeLEA kuchek mawazo ya wakuu inaweza kuwa kesi tofauti,ALL the BEST.
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  akuna chochote zaidi ya taa za blue na zikiwaka inazima sekunde tu mara ya mwisho ni mdogo wangu alikuwa anatumia kama wiki2
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu matatizo yanatofautiana ndiomana tunatafuta msaada kwa magreatthinker wenzangu hapa kama unavyoona wanashusha vitu
   
 12. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu kwa tatizo hilo...Model hizo ndio matatizo yake hayo. Nimeshashughulikia mashine kama nne hivi zikiwa na tatizo kama hilo. Mara ya kwanza kabisa nilitumia video hii "Kong'oli hapa" kutatua tatizo. Sikushauri kufanya hivi kama si muelewa wa taaluma hiyo, maana unaweza ukabakiwa na parts za ziada wakati wa kurudisha. Warudie hao wataaluma wanaweza wakakusaidia zaidi.
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu thnx ucjali mm ndio kazi yangu hardware naimudu mkuu
   
 14. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hizi model kuanzia DV2000 series zina shida sana kuna default problem kutoka kiwandani and most of pple wanacomplain sana nishawahi kudeal nayo hii problem i think kuna ki hardaware unatakiwa kukiondoa na inakuwa inafanya kazi vizuri tu, na nyingine unaongeza jumper moja kwenye motherboard ngoja nikumbuke vizuri kama wenzangu watakuwa hawajatoa solution basi nishtue ili nifuatilie kwa kasi zaidi..
   
 15. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole sana member!
  Nafikiri hizo production za HP zina matatizo mengi.
  Pia kuna hili tatizo la keys kama
  F & enter ukiwa watype zenyewe zina function bila kuzi command...itakua ni matatizo gani?
  Jamaa yangu huko amehangaika nayo kwa mafundi wengi hadi wamemshauri atafute nyingine!
  Kwani hata hizo keyboard za HP ni taabu kuzipata.
   
Loading...