You tube haichezi vizuri kwenye komyuta yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You tube haichezi vizuri kwenye komyuta yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ndumbayeye, Feb 8, 2011.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,789
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Kwa muungwana mwenye kujua namna ya kuondoa au nifanye nini ili kuondoa tatizo la kukatakata kwa video kwenye kompyuta yangu anisaidie. kompyuta ni dell insipiron 1525
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Download flasher player v10 au kama video umeipenda unaweza kuipakua kwanza ndipo uiangalie.ukiidownload huwa zinacheza vizuri bila kusitasita.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hilo nadhani ni tatizo la internet "speed"!
   
 4. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jaribu ku-update flash player unayotumia na java pia
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Jamani hapa tufahamishane uzuri maana hata mimi sienjoy kabisa youtube video, maana ukifungua inatokea alama kama kamduara fulani kuonyesha inaload kisha itaplay kwa dakika moja kisha inaanza kuload tena yaani inakata stimu, pia nina players tatu lakini haiplay katika mojawapo ya hizo player
  je inakuwa inaplay na player gani, na hiyo flasher player ndio nini maana ktk software nilizo install siioni na je nikitaka kucheza youtube mwanzo mwisho yaani non stop nifanyeje.
  Hata nikitumia simu bado hadithi ni ile ile ya kuload dk2 kuplay dk1
  Samahani mkuu kama hiki sicho ulicho maanisha na ikaonekana kama napoka thread ya watu, but hoping ni issue hii hii
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Download Bonyeza hapa chini
  Adobe Shockwave Player bonyeza hapa Adobe - Adobe Shockwave Player

  Download bonyeza hapa  Adobe Flash Player Adobe - Install a different version of Adobe Flash Player


  Badilisha hiyo setup yako ya DNS Setting weka hii hapa chini namba za 218.67.222.222 na hizi hapa weka 218.67.220.220

  Change DNS Settings in Windows XP

  Sometimes you may want to override the default DNS (Domain Name Server) settings on your computer so you can specify which DNS server is used, or which IP address should be used for a particular domain. There are two ways to do this: Specify the DNS and map IP addresses.
  (1) Specify the DNS to be Used

  This method tells your computer which DNS to use for all your internet browsing. Most home users have this set to "automatic" and the DNS is provided by the user's ISP, but you can use any DNS you like (you can even make your own DNS if you're keen).
  Before you start you will need to know the IP address of the DNS to use - if you don't know this you'll need to ask your system administrator or ISP.
  To set your DNS, you need to find the Internet Protocol window.
  For Users on a Dial-up Connection:Go to My Computer>Dialup Networking.Right-click your internet connection and select Properties.A window will open - click the Server Types tab. Click TCP/IP Settings. For All Other Users:Go to Control Panel>Network Connections and select your local network.Click Properties, then select Internet Protocol (TCP/IP).Click Properties. You will see a window like the one below - this is the Internet Protocol window. Select "Use the following DNS server addresses" and enter the desired DNS server(s) in the space(s) provided.
  [​IMG]

  badilisha hizi tu za chini weka hizo namba nilizokuwekea hapo juu yaani kwa juu weka hii hapa chin 218.67.222.222 badili hizo 202.27.184.3
  na chini ya hizi namba 202.27.184.5 weka hizi namba 218.67.220.220

  kwa namba hizo za juu weka kidote kwenye Obtain an IP (Automaticaly kisha uiwashe Computer yako Youtube itakwenda mbio na utafurahi.

   
Loading...