Msaada on my HP Pavillion DV9000 - Display problem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada on my HP Pavillion DV9000 - Display problem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ally Msangi, Feb 8, 2011.

 1. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nina HP Pavilion dv9000, na haikuwa na tatizo lolote lile tangu nimeinunua bt sudenly iliaza kuchora mistari ya rangirangi with a bad sound signal.. wat i did was to shut down and see wat was wrong, bt iliwaka tena kama kawaida bila tatizo, then ilipo hapen kwa mara ya pili i tried to make a system restore and it went fine bt jana things went far to a blank screen and the display is gone.

  mashine ina waka kama kawaida ila display ina chora mistari ya rangi rangi 2. nimejaribu kuweka katika external monitor bt cha ajabu haikubali ku display hata kwa screen ya nje pia.

  plz guyz any idea how to fix this issue cos ishanitoa jasho na ujanja wangu wote mfukoni..!!

  nime angalia jinsi ya kutatua tatizo hili katika net and they say this is a heat related failure that leads to BGA NVidia video issues and total video failure.

  help plzzzzzzz............!!
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hizi model sumbufu sana inaonyesha zinamatatizo tangu kiwandani zimekosewa me yangu naendelea nayo yenyewe tofauti kidogo nalako yenyewe ukwasha zinawaka taa za blue nakuzima bac
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hongera mkuuu kwakuchukua hatua za mwanzo kugundua tatizo mwenyewe. u re really GT.

  Kuhusu help kamaulivyosema msaada zaidi nil aptofkufunguliwa na mtaaalam mwenye vifaa sahihikuangali hardware damage. specifically kwa maelezo yako hiyo graphic card.

  je hiyo haina display output ujaribu kuconnect monitr ya pembeni uone. just for try
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Amesema amejaribu hiyo imegoma!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  dah sikuona inawezekana hiyo Graphic kadi imekufa. Kama navyosema tatizo laweza kuwa joto.Iinawezekana card imekaa karibu na na CPU so imeheat.

  Tafuta manual ya motherboard yake ujue ramani na location ya Graphic card kuona kama kweli inaweza kuathirika na joto la CPU

  May be some PC are not designed or even tested ku operate kwenye mazingira na enviroment ya joto letu la bongo.

  But again hiyo itahitajikufunguliwa tu. kupatamnual ni njia ya kujiridhisha na tatizo

  Pole sana mkubwa

  Jeu umejaribu kuwatembela manufacuter ho nakujaribu solution zao kama hii
  kama vipi wasiliana naoHP. unaweza kukuta unaambiwa watatatua tatizo bila gharama yeyote kwa kutumia wakilishi wao walio hapa bongo. Nawajua jamaa walikuwa karibu na muhimbili zamani wanaitwa computech ICS.
   
 6. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  @mtazamaji.
  Kaka nimekesha niki tafuta solution ya kutengezeza mashine yangu and finaly nimejua tatizo,

  tatizo lipo katika video card chip ambayo ipo karibu na CPU, It was over heated ndio maana inagoma ku display, na sold ni kuifungua then kuangalia kama imekufa au ni kuyeyuka kwa njia zake,

  nimegundua kuwa HP DV series zote zina hili tatizo na Hata kama ukiwapelekea HP hawazirekebishi, nimepata video tutoria ya jinsi yakuirekebisha so wat i wil do is to find a qualified technician to perform that task, cos i dnt trust mafundi njaa.

  Thanx guyz, n soon i wil post the video here ili na wengne wapate ujuzi jinsi inavyo weza kurekebishwa,
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Baadaya kusoma kwenye site ya HP a nyingineinaonyesha hizi hp dv 9000 zilikuwa recalled mwaka 2008 kwa tatizo la graphic card. sijui yako ulinunua lini .

  But Hawa HP wanauza sana laptop zao africa iwe ni new au 2nd hand. Jaribu kuwakomalia hasa uanajua wazungu hawapendi image za kampuni zao kuharibika.

  hata kama haina warranty wakomalie .

  Hapa kuna issue inaibuka . Kitu kikijulika kina technical defect basi gharama za kurekebisha ni za mtengenezaji iwe ana warranty ama la.

  I wish ningeinunua hii kesi na kuwaomalia hawa Hp nijue jibu lao.
   
 8. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna kesi nyingi sana against HP kuhusu DV series, katika tatizo la wireless card, video card na tatizo la overheating ambayo ndio chanzo kikubwa cha uharibifu wa hzi laptops,

  na hawa jamaa wajanja sana walipogundua tatizo ktk motherboard zao wakatoa terms n conditions kuhusu matatizo hayo ili ukiwashtaki wakushnde, so kuna law suit ambazo zina wa protect,
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  No jaribu mkuuu si internet unayo unaweza kukuta kina vifaa wanatuma service center zao za hpa africa havitumiki . Jamaa wa service ccenter sometime wanawapiga watu bei hata kwa vitu aabvyo ilikuwa ni haki kupata bure.

  Mimi niliwaikuwana latop ya HP miaka ya nyuma nilitatua tatizo ambalo lingenicost hela nyingi lakini sababu niliwakomalia HPmakau makuu waka ni direct kwa hao jamaa ha Computech ICS. Tena kwenda pale nikazuga mm ni IT wa serikalin nikasema ningekwua na uwezo nisnge shauri tutunue tena laptop za HP kwa ajili ya mabosi. Weeee .

  Kama ningekuwa wewe kwanza ningetataka kujua HP wenyewe wanasemaje.
   
 10. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  HP DV9000 blank screen fix! Video problem BGA rework
  This fix also works on the HP DV2000, DV6000 and DV9000 there are a couple more HP's with this BGA video issue. Also effected by this issue are a couple Compaq models. The Comaq Presario V3000 V6000 and a couple of the Pavilion models.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aisee I have shelved my 17 Inch laptop of similar specifications. Mafundi wengine walidai kioo kimeharibika, something which was wrong, nlienda Prince Computers wakaniambia kifaa gani sijui kimekufa, na wakashindwa kuitengeneza. It's hectic nikaamua tu kununua laptop ingine.
   
 12. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  obviously mafundi wengi hawajui jinsi ya kutengeneza hili tatizo, ni tatizo dogo sana unless kama video card imeungua ndio hapo kidogo itasumbua kupata video card ya HP, bt tatizo si kubwa kama mafundi wanavyo dhania
   
Loading...