Wanajuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajuaje?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The Pen, Feb 7, 2011.

 1. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza,

  Hivi wadau wanaoshirikiana ktk SMS kila mmoja wao anajuaje idadi ya SMS zilizoingia?

  Kwa mfano, waandaaji wa Bongo Star Search (BSS) wanawezaje kujua idadi ya SMS zinazotumwa kuwapigia kura washiriki wa BSS, na hivyo kuweza kujua kiasi cha faida wanachoweza kugawana wao na mobile phone providers?

  Nitapenda pia kujua km kuna njia nyingine waitumiayo wadau hao ktk suala la kugawana mapato.

  Ahsanteni!
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi si mtaalamu wa hii maneno lakini i can imagine how simple it is.
  Kama watu wote wanatuma kwenye center no moja mfano 1555 inamaana msg zote zitaenda huko kwahiyo ni rahisi kujua ngapi zimetumwa, pili kila mtandao wanabei yao ya sms, mfano voda 56, tigo 40 nk na makubaliano ni kuwa kila sms itatozwa 250, na hapo pia kutakuwa na makubaliano kati ya mitandao na waandaaji, mfano ktk sms moja voda watakata 60 inayobaki inaenda kwa waandaaji. mwisho wa siku mitambo inarekodi kila kitu waandaji wataenda voda watapewa cha juu chao,na tigo hivyo hivyo na airtel.
  Ambacho sina uhakika nacho ni kuwa nasikia kunakampuni nyingine ndio inamiliki hizo namba, unakwenda kwao wanakupa code no yako mfano 1555 kisha unakwenda ktk mitandao kukubaliana nao juu ya makata na malipo kisha kazi inaanza mwisho mgao unatembea according to makubaliano.
  issue ya kujua nimtandao gani umetuma kiasi gani cha sms ni very simple kama ilivyo simu yako inavyoweza kuainisha.
  Mitambo yao ni mikubwa inaoption nyingi za kuainisha kumbukumbu licha ya kujua mtandao gani inajua nani katuma mara ngapi tarehe na saa ngapi na zimetumwa kutokea sehemu gani ya mnara uliotumika nk.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu kwnye computer inahesabu kila msg idadi na unaona kila kitu mkuu tulishawai kwenda kusambaza msg kwa simu unamonita mwenyewe na unaona
   
 4. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Asante sana, paulss! Labda inamaanisha pia kuwa idadi ya SMS inaonekana pia ktk computers za kampuni hiyo, au siyo?
   
 5. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana, mkuu drphone! Naona mada imeendana na username yako :smiling::smiling:! Hilo mlilifanya ktk kampuni ipi?
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu huku sasa ndio kuna idadi kuu iliyotumwa toka mitandao yote yaani kwenye hiyo center no, voda watakuwa na record ya msg zilizotumwa na wateja wao halikadhalika na mitandao mingine itakuwa na record ya wateja wao
   
Loading...