Msaada! nataka kununua GPS/GIS data collection

Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
140
habari wana technologia, ninampango wa kununua GPS yenye uwezo wa kukusanya data katika mfumo wa GIS (point, line, and attribute) naomba msaada wapi naweza kupata na bei ni kiasi gani
 
Mi ninayo ila nakodisha kwa bei ya sh. 5000 kwa siku kama unataka kuitumia kwa muda mfupi. Ni garmin GPSmap76CSX ambayo iko very accurate. Kama unataka ya kununua napo naweza kukusaidia mahali unaweza kuipata ila hela zitakutoka si chini ya laki sita.
 
Nashukuru Kidundulima, nafikiri itakuwa vyema kwangu nikikodi ya kwako kwa muda mfupi, nikajaribu kucheki kama aina hiyo ya GPS uliyonayo itakidhi mahitaji yangu. unaweza kunipata kwa 0714-632202.
 
Back
Top Bottom