Wadungu nili-install XAMPP siku chache zilizopita, the apache ikawa inagoma ku-start nikaja kukundua kuwa previous installation ya XAMPP ndio tatizo, kwani under services>apache ilikuwa inapoint...
Sina hakika imeanza kutokana na nini hasa ila tangu juzi nimeanza kutumia Apple´s Safari browser, na kila wakati napata ujumbe toka kwa anti-vir yangu avast free (ver 5.1.889) ina-detect kuwa kuna...
Modem yangu imenikatalia kufunguka siilewi inatatizo gani, naomba wataalam mnisaidie tafadhali, hii modem nimesha i unlock nimetumia sana tu kwa computer tofauti lakini kwa mtandao mmoja wa Airtel...
kwanza nashukuru sana kwa msaada wako wa kiufundi kwani nimeweza kumuondoa mdudu wa vodafone mobile lite kwenye modem yangu ya vodafone mobile connect HSDPA USB STICK K3565-Z, na kumuweka JOIN...
Wanajf kuna mtaalam anaweza kunisaidia jinsi gani naweza kubadili upya programu ya application ambayo inansumbua kwa muda mrefu kila nikidownload inakataa kufunguka kwa mfano operamini na games...
natumia HP Pypeavilion lakini kila nikitypehou maneno yanaingiliana yaani siwezi kutype kwenye straight line without confusion
nisaidieni ni settings au nini?
Ninatumia modem ya Zain kwaajili ya kwenye laptop yangu. Lakini kila nikitaka kudownload information kwenye internet, inanipa message hii: INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED FOR 30...
wana jf kwa nini televisheni yetu ya taifa wakati wakuonyesha mpira wa live kutoka uwanyani wanashindwa hata kuweka muda (dakika) wa mchezo kwa mfano wakati wa mashindano ya chalenge waliboronga...
Naomba msaada wa source codes za kitabu hiki hapa kwa mwenye nazo(Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mwandishi anaitwa JANET VALADE. Soft copy ya kitabu ninayo, lakini Souce...
Naomba mnisaidia hapa. Katika utafiti wangu nimegungua makapuni mengi yanayo fanya kazi za kutengeneza na kuhost website hapa bongo yenyewe haya website. Je hii ni strategy of business??
Waheshimiwa, flash yangu inasoma kama folder, nimehisi kuna virus na kuscan nikirudia lakini wapi!!!
Sijui tatizo litakuwa nini, natumia Kaspersky internet security 2011 na iko update.
Naomba...
Currently the internet has continued to be disrupted in Egypt following the closure of all section of internet traffic into and outside the country.
Today, six Al-Jazeera correspondents have...
Tanzania is one of the largest sorghum grower in Sub Saharan Africa, but very little is known as to why sorghum is not used in many households as food. The world weather is becomming more and more...
Jamani tujifunze,
mimi nimefanya kazi alla the way na MySQL pekee. Sijawahi tumia zingine zote ingawa nina PGS installed. Naomba kwa waliotumia zingine watuambie kuna tofauti gani technically. Je...