Kama calvin power yuko karibu naomba anisaidie hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama calvin power yuko karibu naomba anisaidie hii.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dfreym, Jan 31, 2011.

 1. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwanza nashukuru sana kwa msaada wako wa kiufundi kwani nimeweza kumuondoa mdudu wa vodafone mobile lite kwenye modem yangu ya vodafone mobile connect HSDPA USB STICK K3565-Z, na kumuweka JOIN AIR.

  kiufupi line zote almost zinafanya kazi.
  tatizo nimeexperiace shida kwenye line ya airtel
  line hii, nikiiweka kwenye modem inaonesha network za mitandao miwili yaani UMTS na EDGE.


  TATIZO kwenye network ya edge inawaka taa nyekundu badala ya kijani.
  UMTS yenyewe inawaka taa ya blue kama kawaida. ila kwa mitandao yote hiyo miwili nikijaribu kuconnect inafail na kuniambia "connect fail"

  nimejaribu nimeshindwa. kifupi line ya airtel inakataa. nimejaribu line zaidi ya moja ya air tel majibu ni yaleyale.

  sa sijui nifanyeje kwani airtel si unajua ndo ze cheapest network!

  KAMA KUNAMTU YOYOTE MWENYE UELEWA WA TATIZO HILI ANAWEZA KUNISAIDIA PIA.
   
 2. D

  Dansel JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani hii tabia ya kuandika majina ya watu kwenye Heading inakuwaje, Unaposema kama Calvin Power yuko karibu unamaanisha nn wakati hapa Jamvini wanatalamu ni wengi tu sio Calvin Power peke yake hii ndo maana unaona views 36 reply 0, Rekebisha 2 heading yako mkuu next time usirudie, I real appreciate Calvin Power hasa kwenye haya maswala ya MODEM lakini sidhani kama kuna ustaarabu wowote wa kufungua Thread kama hii Ndo maana DR 4N huwa anawaambia watu waache kufungua Thread za KISHAMBA, kwanza Topic ya hizi modem ipo sasa wewe kukomalia na kwa kujaza Thread inakuwaje ungepost vzuri maautalamu yangeshushwa sana, (samahani kama maneno ni makali kiasi ila ni kwa lengo la kuelimishana zaidi)
   
 3. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  sorry for late reply. kifupi ni kwamba line za airtel hawajaziunganisha zote kwenye internet. wapigie simu waambie wakuunganishe. nafkri hiyo line itakuwa ni mpya. kama unamtu unamjua ana line ya airtel na anaitumia kwenye modem yake jaribu kumuomba then try kwenye hiyo modem yako and post results. kama nayo itakataa tutafuata step ya pili. kingine ukiwa na tatizo weka ili kila mtu aweze kutoa maoni,How you say something is often more important than what you say. kama ulivyoshauriwa hapo juu ungeifungua thread yako vizuri , bila kupoint jina nadhani members wengine wangeiona inaumuhimu sana na inamaana sana kuliko hata kilichoko ndani yake. ungepata reply nyingi tu.
  Anyway try my solution then post results.
   
 4. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimeshafanikiwa jamani. kumbetatizo lilikuwa ni la line. nimewapigia airtel, wakanisolvia. so nimefurahi na sasa natumia line ya airtel.
  sorry jamani, mistakes makes improvement. nimewaelewa. tatizo niliona kama thread ile ya how to unlock k3565 - z, ni defu mmno kiasi cha (huenda kutia uvivu kusoma), pia niliona kama posts nyingi zina kitambo kidogo, so nikahisi speed ya feedback na yenyewe huenda imepungua. ila nimeelewa.

  ila hebu nielewesheni basi nikituma kwenye ile thread itawezekana kujibiwa kirahisi?

  pia tilikuwa na tatizo kidogo nimenunua modem nyingine ya vodafone k3565- z, tatizo nikitaka kufuta dashboard ya vodafone inanitletea ileile dash board ya ztemt. nashindwa niifuteje.
  msaada plz
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hongera kwa kufanikiwa tatizo lako pia hongera kwa kutambua kutojilimiti hapa jamvini mana wengi tutasoma na kupita ili mlengwa akusaidie ukituma kwenye ile thread utapata msaada haraka zaidi usiogope kuona kwamba ni ndefu mfano mm binafsi nikiloginn JF sehemu ya kwanza ni hapo so najua last post ni ipi kuhusu hyo modem fanya kama ulivyofanya ile ya kwanza njia ni ileile mkuu karibu sana.

  next time ukitaka msaada binafsi tuma pm kwa mtu husika ni nzuri zaidi
   
Loading...