Let us learn: Difference between MySQL, PostGreSQL, Oracle, DB2MSSQL, and Sybase

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,597
37
Jamani tujifunze,
mimi nimefanya kazi alla the way na MySQL pekee. Sijawahi tumia zingine zote ingawa nina PGS installed. Naomba kwa waliotumia zingine watuambie kuna tofauti gani technically. Je zote zinafuata standard SQL na wapi zina deviate. Pia tools zinazotumika kwa ajili ya management (MySQL kuna MySQL Workbench na PGS kuna PGAdminIII )

Karibuni!
 
Practically na tecnically nimefanya kazi kidogo sana na Microsoft SQL, Oracle na MYSQL.

MY SQL nimetumia sana sana kujifunza binafsi sijaitumia sana kwenyeworking enviroment. . Microsoft SQL na Oracle nimetumia sana sana kwenye administration sehemu chache. Just administration .

I found Oracle kuwa tricky hata kwenye installtions . Uki uosea installtion ya oracle ukarudia inaweza kuathiri installtion nyingine. Nimeona kuna mtu anauliza mambo ya control file kwenye thread file nikakumbuka once nilijidanganya kuwa nikiuninstall na kuinstall upya Oracle basi mambo yatakuwa safi kumbe duh. I rember i spent masaa kadhaa tu kwenye kutroubleshoot installation.

Nadhani hizi DBMMS zote zina standard SQL japo in atofauti kidogo lakini zote ni Relational so Syntax implimentation za SQL ni kama hakuna tofauti.

Naona Microsoft wanakuja kasi sana Maana navyoona SQLServer2008 ni moto. Ina features na tools amabzo zilikuwa zinaipa sana advantage Oracle

Psot GreSQL naisoma tu kwenye article sijawai hata kufanya inst installtion sijui interface yake.
 
i wanna do oracle now. Oracle wanna 'corleone' us really bad, somtyn is nt ryt with these guyz.

I think, in enterprise world. Its MSSQL vs Oracle.

I LOVE MySQL! :mwaaah:
 
Japo kuwa SQL is an ANSI standard, bado implimentation yake katika DBMS inatufautiana. Utofauti wake ni katika baadhi ya comand lakini siyo zile basics kama SELECT, UPDATE, DELETE, INSERT, WHERE. Hizi zote ni sawa. Kuna comands nyingine ambazo hata hazimo kwenye ANSI stand or SQL 1992 zimekuwa implimentated na specific DBMS.

Utofauti mwingine ni capacity of server engine. MySQL ni nzuri lakini katika operations kubwa hawapengelei sana, mara nyingi ni SQL server pamoja na rafiki yake sybase SQL Server, Oracle etc.

Tofauti nyingine ni uwezo wa kufanya programming katika hizi platform ukizingatia kuwa SQL is not a programming language. Kwa hiyo utakuta Oracle anatumia PL/SQL na SQl server anatumia T-SQL. . Halafu unaweza intergrate .NET kwenye SQl server kitu ambacho kwenye Oracle hakipo hasa ktk kudeal na complex calculation.

Kitu kingine ni compatibility with programming languages. utakuta Mysql wanaiva vizuri sana na PHP, wakati Oracle na Java mambo yao pia ni poa sana. Ukija kwa ngudu yetu Sql server na .NET platform pia mambo si mabaya.

Tusisahau pia mambo ya leseni, kwani hili swala la open source nalo linamata. Piatusisahau uwezo wa server katika kuhimili distributability na zina offer tools zipi , mfano oracle replication technology no bomba sana. etc.

asanteni kwa machache.
 
asante wandugu wote ambao mmechangia so far! Open source ambazo nimeona zinatumika sana ni MySQL na PostGreSQL ingawa firebird pia inatumika.

Ningependa kujua zile non ANSI commands zinavyokuwa implemented ktk DBMS nyingine. Pia mtazamaji tudodosee kidogo juu ya installation ya Oracle na MSSQL.....et al

+1 for redSilverDog, i love MySQL. I hope oracle won't kill that petty RDBMS
 
Bado napitia pitia maana bado sijawa sana mtaalama sana wa hivi vitu!!
 
asante wandugu wote ambao mmechangia so far! Open source ambazo nimeona zinatumika sana ni MySQL na PostGreSQL ingawa firebird pia inatumika.

Ningependa kujua zile non ANSI commands zinavyokuwa implemented ktk DBMS nyingine. Pia mtazamaji tudodosee kidogo juu ya installation ya Oracle na MSSQL.....et al

+1 for redSilverDog, i love MySQL. I hope oracle won't kill that petty RDBMS

Kuhusu Installation kwa upande wangu sijakutana na tatizo hata kidogo, kitu cha msingi ni kuhakikisha hardware zako zinameet ile requirements zilizoainishwa.
 
Kwa kuongeza senti mbili zangu hapa, itategemea unatumia SQL enviroment kwenye mazingira gani? Kama ni ku-tweak around private hautokumbana na mambo mengi kulinganisha na matumizi ya kikazi/kiofisi. Niligundua hili pindi nilipokuwa narambarambaza nyumbani kabla ya kuitesti na programs za kazini, ilikuwa ngumu sana kukubali kurun queries kwa kutumia IBM iSeries AS400. Hivyo inakuwa si rafiki wa kila application.
 
mtaalam sijakuelewa hapa. Naomba uelezee kidogo!
 
Ok labda nilikuwa distracted na mambo mengine wakati natype hii. In short nilipata matatizo kurun AS400 queries.
 
it is like comparing a ferrari with a fiat. You can do that. To understand the differences you must know the database theory. Oracle (mysql belongs to oracle by the way) supports the best concurrency algorithms, the best storage engines, the best query optimizers etc. MySQL is just free and good for what it is made for.
And all in all about Oracle is user friendly a layman can use it while mySQl is used by professionals
 
Mtaalam mwaga hizo theory tuelimike, Japo kwa ufupi!
 
mutufundishe na sisi tusiojua hayo mambo hapa ndio raha ya jamvi sio munaongea kama wacheza Karata tatu wanajuana wao tu, sasa sisi tunajua mimi hapo? Tafadhali mufanye kama Darasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom