Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanaJF naomba msaada je naweza kuzuia virus wasiingie ktk computer bila kutumia program yoyote ya antvirus? Naomba msaada wataalam
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo JF sasa nataka kuinstal ubuntu au linux. Naomba kujua namna ya kuinstal na pc iwe na sifa ipi na je naweza kuinstal ubuntu/linux ktk pc yenye winXP na je ubuntu/linux naweza kuinstal program...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....i've never got the right answer about this: kwanini ndege wakitua kwenye nyaya za umeme hawafi while binadamu akigusa tu anakufa??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi, anyone can help me how to crack window 7
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimekuwa nikijiuliza kwa nini simu za mkononi zinahitaji minara mingi tofauti na ile ya redio.karibu maeneo mengi yana minara ya simu lakini minara ya redio sijawahi kuiona huku mitaani lakini...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nataka ku-Install Wine Microsoft Compatibility Layer kwenye Ubuntu lakini napata haka kaujumbe ,,,Could not find package'wine' Nimejaribu Ku-google sana na bado sijapata suluhisho,,Plzz kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nikiwa uwanja wa ndege huwa naona ndege zikitaka kutoka kwenye terminal kwa kurudi nyumza zinasukumwa na vigari vidogo Je ina maana ndege hazina mechanism ya reverse gear or reverse...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Nijulishe chuo kinachotoa mafunzo ya mbali kwa ICT,siyo vyuo hivi vya mitaani? Hivi Chuo kikuu OUT wanatoa hii,tujuzane wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watalaam wangu kuna mtu akiomba kutumia laptop yangu anapenda sana kufungua folder zangu sasa nyingine kuna documents za siri, naomba mwenye software ya kufunga folder[folder lock] anisaidie jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naishauri Serikali next time ikitaka kubinafsisha Mashirika ya Umma; kuliko kuwauzia wale wanaowaita Wawekezaji, bora waiuzie Machine ya WATSON. Machine hii inauwezo wa kufanya mambo kwa ufanisi...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
nafahamu uhusiano wa vipimo tofauti mfano uzito(kg,g etc), urefu(km, m,sm etc) lakini naomba kufahamu uhusiano wa vipimo vya memory. gigabyte moja ni sawa na bytes ngapi? vilevile kwa megabyte na...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wadau ni kampuni au mashirika gani ni leaders na ni mfano katika kutumia teknolojia mbali mbali za ICT Kwa wanaojua tutaje kampmuni au shirika katika kila kigezo ambalo tunadhani liko fit na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada rafiki yangu alikuwa anatumia lappy yangu sijui aliingia wapi maana virus zimevamia hadi anti virus software haifanyi kazi kuzitoa Nimezima broadband connection ila bado...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waaaaw wanateknohama kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player Sasa baada ya ku google nimekutana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
New Hacking Tools Pose Bigger Threats to Wi-Fi Users iStockphoto By KATE MURPHY You may think the only people capable of snooping on your Internet activity are government intelligence...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi JF Kuna office mpya tunaanzisha...Mie sio mzuri sana..nahitaji guidence kuhusu ku install Network printer.Tuko na LAN hapa ya internet ambayo kila mtu anaweza plug computer yake to wall...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How to Force the CPU to Run at Full Speed Via the Registry As you continually install and uninstall programs, components of these programs will stay behind in your computer's registry system...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wandugu, yuko rafiki yangu amenikaribisha(invitation) kutumia drop box ambayo baada ya kukubali mnashare folder. Ndani ya folder hiyo unaweza kuingiza faili lolote hata kama ni wimbo na yeye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba mwenye kufahamu anijuze nini cha kufanya juu ya tatizo la computer yangu kuwa nzito, Computer yenyewe ni DELL laptop, yaani kila nikifungua programme yeyote inakuwa nzito mno wakati...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Hbr! Jamani tafadhalini naomba mwenye kufahamu anifamishe ni namna gani ya kuburn u tube movie/clip(s) kwa maana nabaki kuziangalia kwenye laptop tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom