Nimekwama!

Oracles

Member
Jul 4, 2010
12
0
Wadungu nili-install XAMPP siku chache zilizopita, the apache ikawa inagoma ku-start nikaja kukundua kuwa previous installation ya XAMPP ndio tatizo, kwani under services>apache ilikuwa inapoint ktk old installation ambayo(installation folder nimedelete tayari) nilikuwa nimeidelete zamani sana.

Kwa sasa nataka kudelete old apache service & XAMPP kwa ujumla then nianze fresh installation, but sioni options zozote za kuweza kudelete, naombeni msaada wenu wadungu.
 
Nime' setup several XAMPP instances kwenye machine yangu lakini sioni entry yoyote inayoihusu XAMPP in control Panel -> services. Of course can only start one at a time.
For your old apache install, in services, select the item and right click to reveal menu, select properties and see what its path is and if it has any dependencies.

When you start XAMPP's apache and mysql do you get any errors?
 
Swali moja. unadelete au uninstall maake kutokana na maelezo yako kama ungeuninstall isingeweza kupoint kwenye old installation. Pls fafanua zaidi.
 
Back
Top Bottom