MSAADA NOKIA 5130 Xpressmusic

Mzux D

Member
Dec 8, 2010
15
0
Wanajf kuna mtaalam anaweza kunisaidia jinsi gani naweza kubadili upya programu ya application ambayo inansumbua kwa muda mrefu kila nikidownload inakataa kufunguka kwa mfano operamini na games. Nilijaribu kutengeneza kwa fundi ikapona kabisa baada ya kutumia kwa muda wa wiki 3 ikajirudia hali ileile? Tena nijaribu kuweka factory settings hali ikawa ileile. Mi n kiziwi nisaidieni?
 
kama nimekuelewa vzuri inaitaji kuflashiwa ndicho alichofanya fundi ulompa mara yakwanza kama upo nae karibu unaweza kumpelekea tena ukiweza kunieleza vzuri zaidi naweza kukusaidia kulingana na maelezo utakayonipa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom