Internet download manager | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet download manager

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Enny, Feb 1, 2011.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ninatumia modem ya Zain kwaajili ya kwenye laptop yangu. Lakini kila nikitaka kudownload information kwenye internet, inanipa message hii: INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED FOR 30 DAYS. TRIAL PERIOD IS OVER AND IDM IS EXITING..

  Naomba msaada wenu jamani. hii inasababishwa na nini?
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Maana yake unatumia hiyo IDM ku download data. Kama vipi jaribu kutumia torrents ni bora kwa ajili ya downloads kuliko. IDM
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uninstall IDM. Imeikamata browser yako na ina intercept downloads. Tumia Free Download manager, bure kabisa na ina viwango vya juu sana!
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  torrents sio DM ndugu yangu. Ni protocol na mafaili yalibinywa na protocol hiyo. Kuna wateja wa hiyo protocol kama Vuze, Bittorrent, Deluge, utorrent et al. check link below:
  Torrent file - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 5. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hiyo maaana yake ni kuwa hiyo internet download manager (IDM) unayoitumia ulipewa ya bure uitumie kwa siku 30 (trial version). Baada ya hapo unatakiwa uinunue ili uendelee kuitumia. Wakt unainstall hiyo IDM katika pc/laptop yako, ilichukua settings zote za downloadable links (documents, video, music, zip files). Hivyo ili kudownload tena inabidi uitoe hiyo IDM. Ili kuhakikisha kuwa idm inatoka kabisa tumia revo uninstaller kuiondoa (revo uninstaller inapatikana hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems). Kama unataka download manager tumia flashget, inapatikana hapa http://www.flashget.com/index_en.html au Download FlashGet 3.7.0.1156 - FileHippo.com
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu kwa elimu lakini mimi nina software ya torrent ambayo ninaitumia ku download softwares katika mfumo huo na kuzitumia kama kawa.
   
 7. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba munieleweshe namna ya kufanya mimi siyo mtaalamu kabisa wa hii technology. ni mtumiaji tu. mwenye kuelewa anieleweshe nifanye nini?
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  
 
Mkuu fuata maelekezo ya baba mtu na link amekuwekea.
Au maelekezo hayo bado ni magumu kwako ayalainishe zaidi?
   
 9. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wateja wa hii protokali (Bittorrent clients) kama vile:
  Azures
  Deluge
  Bittorrent
  utorrent
  KTorrent
   
 10. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Revo Uninstaller Quick Guide
   
 11. M

  Metallic Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  wakuu mimi pia natumia window 7 but kila niki-instal IDM inagoma.window inarestrict nifanyeje???
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  chukua hii mkuu with key http://tinyurl.com/5sf3yh3
   
Loading...