Msaada - umeme mdogo wa tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada - umeme mdogo wa tanesco

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Jun 3, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hellow wanajamii wenzangu wataalamu!!

  Tatizo langu ni Umeme wa tanesco kuwa mdogo, nadhani ni eneo zima ninaloishi so hii inanipashida sana kwa vifaa vyangu vya umeme.

  Nina flat tv 32 inch sony imeungua mara tatu nikaambiwa ninunue LOW VOTLAGE STABLIZER 100v to 270v. tatizo bado hadi stablizer inachemsha...inawakaa sometime inazima yaani inasaidia isiungue tena ila tatizo bado lipo.

  so naombeni mawazo yenu nifanyeje kuhusu umeme mdogo wa tanesco au ninunue kifaa gani maana hadi tv guard haiwaki.

  Any solution ,Advice will be highly appreciated
   
 2. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Umekwishatoa taarifa tanesco kuhusu hilo tatizo? Kama bado nenda tanesco uripoti tatizo hilo
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama hiyo stabilizer inazima ina maana umeme unashuka chini ya 100V, hapo kutakuwa na tatizo coz normal umeme unatakiwa uwe 230V, sidhani kama kuna kifaa kitakachoweza kuoperate kwenye umeme mdogo hivyo... ongea na tanesco wakuhamishe Line
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  aha..vipi kuhusu cost ya kuhamisha line..halafu niamishe line pekee yangu wakati tatizo la umeme ni mtaa mzima dah..any way asanteni wakuu kwa ushauri mzuri
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  itakubidi utafute powerful Voltage regulator hiki kifaa umeme ukipungu huwa kinaongeza .....
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jee umezingatia uwezo wa hiyo stabilizer yako. i mean umeangalia kwenye catalog yake ina VA ngapi? na hivyo vifaa unavyotumia vina VA ngapi? VA ni volt-ampere karibu stabilizer zote zinapimwa uwezo kwa kutumia unit ya VA.
  ukitaka kujua VA za kifaa chako kwa mfano hiyo tv yako. iangalie nyuma utaona ampere au A mfano 2A au 4.5A hiyo A ni ampere. kisha fanya multiplication ya hiyo namba iliyo nyuma ya ampere na operationg voltage usually 230V au 220V ambayo pia utaiona nyuma ya tv yako.
  jawabu utalopata after multiplication ndio itakuwa VA ya tv yako ambayo inatakiwa iwe ndogo kuliko uwezo wa hiyo stabilizer yako.
  kwa mfano kama stabilier yako ni 640VA basi inabidi itumike kwenye tv yenye VA isiyozidi 512 VA. (80% x 640 = 512)
  yaani iwe ni 20% less. hii 20% inaitwa safety factor.
  kama itakuwa kubwa zaidi ya hapo itakuwa unacheza tu i mean ume i overload hiyo stabilizer yako.
  sijui hesabati zimefahamika au nimezidi kukuchanganya........
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa kifupi upate stabilizer kubwa kama 2000VA au 5000VA. isiwe 500VA ambayo inakuwa ni ndogo sana
   
 8. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni umeme kuwa mdogo, je, kuna stabilizer inayopandisha umeme chini ya 100v hadi 220v? Hili ndilo swali
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu mi natumia volt 1000 . na mfano nikiwasha stablizer pekee bado inafanya hivyo hivyo yaani ina drop na kupanta so ina kuwa inazima na kuwaka muda wote,
   
 10. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tatizo kama hilo linasababishwa na yafuatayo:

  1) Line kuwa na wateja wengi sana bila kuwa na mechanism ya kuboost umeme kwenye distribution transformer ( or Transformer capacity is too low to supply your load), ( Solution hapo ni kampuni husika kuongeza line nyingine au kuongeza uwezo wa transformer ingawa hata mteja anaweza kufanya kama ulivyofanya wewe lakini kunakuwa na limitation mfano huwezi kuboost umeme wa kiwango chochote).

  2) Wateja kutumia vifaa vyenye kuchukua mkondo wa umeme (current drawn become so high,loads with reactive power or low power factor load), (solution hapo ni mteja kuwa na michanism kama zako za kutumia voltage regulators but also if the source ni ile number 1, kampuni ndo inatakiwa kughulikia).

  3) Inawezekana wiring ya nyumba yako pia siyo nzuri, inabidi upime kama iko safi au la. How? Unazima kila kitu ndani, then unacheki kama mita bado inatembea ujua kuna inshu na wiring yako.

  Matatizo yote hayo yawezekana siyo source ya tatizo lako, solution ya uhakika ni kureport tatizo lako kwenye kampuni inayokupatia umeme waje wasolve tatizo.
  Sikushauri kukimbia tatizo kwa kuhamia line nyingine kwani utakuwa hujawatendea haki wenzako, kaeni chini mreport tatizo lenu Tanesco idara ya matengenezo au emergency group, am sure the problem will be solved na mtaishi kwa amani mtaani kwako.
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Matatizo kama haya kwa wenzetu unaweza kuishitaki kampuni mahakamani, lakini kwa vile tulishazoea kutoa ndogo ndogo kwa watu wanaolipwa mishahara nabado tunawaongezea inakuwa tabu sana kukomesha hili tatizo.

  Power System ya bongo ina matatizo chungu nzima, na ukitaka kusolve kabisa tatizo la LOW VOLTAGE, inabidi kufumua kila kwenye transformer na kuunganisha wateja upya na bado haitasaidia 100% kwani wanaofanya hivyo ni waajiriwa wenyewe wa kampuni.

  Wanajiunganishia tu, hata kama Transformer lilishazidiwa capacity yake vishoka wanaunganisha wateja bila kuhurumia kampuni. Its crazy you know! Hata meneja hajali wala taarifa yenyewe au kujua basi Transformer fulani linatakiwa libebe mzigo fulani hajui.

  Reliable Solution: Transmission line za 11KV zingetumika kusambaza umeme mitaani siyo hizo line za 230V, harafu single phase transformer zitaondoa ugomvi wa LOW VOLTAGE kwani hizi transformer zinafungwa kwa wateja wawili au mmoja au hata watatu basi.
   
 12. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hapo solution ni kuambiana wanamtaa mpunguze ku2mia high wattage appliances, kama haiwezekan solution n kubadil au kungeza transformer nyngne.
   
 13. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu si thani kama watakubali kuzima vifaa vyao.
   
Loading...