Jinsi ya kudownload bongofleva mpya kwenye computer yako!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kudownload bongofleva mpya kwenye computer yako!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTAMBOKITAMBO, Jun 5, 2011.

 1. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No offence ndugu,nimejiunga juzijuzi tu hapa ili na mimi nimwage sumu zangu kama ifuatavyo...wengi mnaijua hii njia na wengi hamuijui.

  Mahitaji:
  1.Mozilla firefox browser
  Firefox web browser | International versions: Get Firefox in your language
  Ukisha install Firefox
  2.Video download helper!
  https://addons.mozilla.org/en-US/firefox/addon/video-downloadhelper/
  Instal hiyo add on kwenye mozilla the restart mozilla.
  3.Nenda blog yeyote yenye nyimbo za bongoflava
  eg.BONGO STAR LINK
  nenda kwenye song player,press play wimbo uutakao
  then nenda kwenye option ya tools kwenye mozilla,utaona video download helper,select media utaona jina la song uliyochagua then ukii right click utaona option ya download,then save.
  Viola!U have got urself a song!!!!!!
  :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,140
  Trophy Points: 280
  sasa :bange: za nini tena? Halafu ziko nyingi mno
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Karibu mkuu!! Hiyo njia inaweza ikawa ndefu kwa newbie...ukiwa na mozilla firefox download so called ''flashgot add-on''(google it)...restart mozilla...ur done!! iwe audio au video yoyote ikianza kucheza tu...kwa pembeni ya browser,chini,upande wa kulia..utaona icon nyekundu inachezacheza...just i-click hiyo icon mara moja tu(iki-click mara 2,3...x. basi same song inadownload x-times) songs unazipata.
   
 4. Firefox

  Firefox Senior Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Tabu zote za nini wakati ukiwa unatumia internet downloading manager a.k.a idm inashusha kiulaiiiiini, tena ukitaka unaweza ukadownload zote kwa kuselect download all links halafu una filter mp3 files.

  Easy as abc
   
 5. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nakubaliana nawe mkuu - pia add ons kwenye browser zinaweza ifanya iwe nzito pengine ziwe hazina some other alternative. lakini kwa kudownld tu idm is the best.
   
 6. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwaulize walioziweka humu mkuu!:becky:
   
 7. b-crack3r

  b-crack3r Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  idm is the best 4 that job bro...........
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  tena mie natumia idm latest 6.05 full cracked!!!!!!!!!!!!!!!! speed 300 +++ loh ni miaka mitano sasa natumia hii program tangu wametoa version 1.0 hadi leo 6.05 sijaona mpinzani. the only weaknes is haiwezi download torrent files na haina sehemu ya kuset autoshutdown kwa sie tunao download movies usiku huku tumelala. ila so far it is the best!!
   
 9. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,kwa wanaoenda internet cafe kudownload songs,huwa hawana priviledge ya kuinstal softwares,so,IDM wont work there!:smiling:
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi haijapatikana njia ya kuwazunguka hawa wa cafe na kuinstall software zako ili ushushe mambo? Mwenye kujua aweke hapa elimu!
   
Loading...