HELP ON VISUAL STUDIO (C# programming)

HELP ON VISUAL STUDIO (C# programming)

Einstein

Senior Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
121
Reaction score
28
VisualStudioError.jpg

Habari ndugu wana JF.. Ninafanya project kwa kutumia C sharp.. Nilikua nafungua hiyo Visual studio na nikapata error message kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.. Nilishindwa kufungua project yangu, nashindwa kuelewa error hiyo imesababishwa na nini hasa.. Before, visual studio ilikua inafanya kazi vizuri tu bila shida yoyote..

Naomba msaada, shida itakua ni nini hasa
 
Walk a mile further by googling the error. u can also try to unistall and reistall dot net framework 3.5 package
 
Back
Top Bottom