Jinsi ya kupata full 3g hata ukiwa mabonde kuinama!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupata full 3g hata ukiwa mabonde kuinama!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTAMBOKITAMBO, Jun 5, 2011.

 1. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na usumbufu nliokuwa naupata wa kuungaunga downloads,nikaamua kufanyia ka research hii kitu ya kukosa 3g signals ukienda mbali na mjini tu.
  Najua inawakera wengi but before we go further,i must warn ya'll that,if u ain't a tech guy,dont try this at home!Mpelekee maelekezo haya yafuatayo mtaalam yeyote wa i.t wa karibu nawe ama ni p.m mimi tuangalie jinsi gani ya kusaidiana bila kujitia hasara!

  Ili kuimprovise signal za 3G unahitaji kuwa na antenna kwa ajili ya modem yako!Sasa kuna baadhi ya modems zina port ya kuchomekea external antenna na nyingine hazina hizo port!
  Kama modem yako haina hiyo port,inabidi kuifungua ndani na kuunganisha waya kwa ajili ya antenna!
  Ili kusaidiwa zaidi,fungua modem yako,ipige picha ndani ilivyo,ipost hapa na utasaidiwa maelekezo ya jinsi ya kuunga waya wa antenna!
  Pia inatakiwa uwe na antenna ndogo,eg.antenna mfano wa miba ya samaki(mnaijua nadhani)
  Kazi kwenu!:glasses-nerdy:
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ah! ndy umemaliza mkuu?
  Ungemwaga mifano hata miwili hapa
   
 3. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHEKI MFANO HUU
  [​IMG]

  [​IMG]:shut-mouth:
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  dah!! i thought i know it all kumbe sijui hii...pamoja mzazi..Ila kuna kifaa maalumu kinauzwa ni kwaajili ya kuboost signal za mobile na 3g kinaitwa MOBILE PHONE SIGNAL REPEATERS. u can google it nadhani kko kinapatikana pia, me i use it hata kuboost network ya tigo.

  au antena hii inaitwa Omni Antenna inauzwa pound 7 tu. Solwise - 3G Indoor Antenna

  ila hii ya jamaa ni poa coz ni home made nadhani inachakachulika pia. i will work on it.
  cheers
   
 5. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu,tuendeleze harakati za kujiondoa kwenye ujinga wa kitechnolojia!
   
 6. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu @MTAMBOKITAMBO nime ku PM kuna issue moja inahitaji msaada wako sana arifu.tafadhari kama muda utakuruhusu naomba unijulishe niaje niaje inakua hope uko poa mkuu.
   
 7. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu@Mtambokitambo nimekusoma kaka tena ahsante sana kwa moyo wako wakujitolea ngoja nikomae nayo ikinizingua nitakustua mkuu wangu .
   
 8. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kwa elmu ndogo nlyonayo ya masuala ya antena, n kwamba 3g inasuportiwa na radio antena zinazooperate ktk freq zaid ya 1800 mhz. Na itakuwaje ikiwa nearby tower that services you has got a radio antena operating at 800 mhz to 1800mhz which is the one dedicated for gsm and 2g ntwks? Je hyo technique yako itasaidia vp? N u can correct me if i have mistaken.
   
 9. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwangu imefanikiwa na nipo nje ya mji,sasa sijui places nearby tower inakuwaje,will test it next time and come back with a solution.

  "Try and fail, but don't fail to try."
   
 10. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwangu imefanikiwa na nipo nje ya mji,sasa sijui places nearby tower inakuwaje,will test it next time and come back with a solution.

  “Try and fail, but don't fail to try.”
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  at 45km away from post mpya there lie an island called unguja. huku kumejaa minara lakini hakuna 3g. ni 2g kurudi nyuma tu. jee tukiunga antena itaramba na kupata 3g. ?

  hii modem ya tigo ya huwawei e153 inaungikaje antena. mtu asaidie please
   
Loading...