Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kijana wangu mmoja anasoma katika chuo fulani cha computer Arusha, Baada ya wiki moja ya masomo yake nikampa kazi fulani anisaidie lakini baada ya kugusa computer yangu akabaki akishangaa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana jamvi,ninatatizo la ku instal baadhi ya software kwenye window 7,nifanye nini?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
..naomba msaada wa key za kaspsky waungwana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina website ambayo awali nilitumia static html and simple javascripts pages,ikawa inawork vizuri katika Dreamweaver. Nimejaribu kuongeza baadhi za features na kufanya implementation kwa kutumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa kila nikiona yale mabango yao na jinsi wanavyosema ukiwa na zantel kifurushi chako kinatumika taratibu kama mshumaa, nawashangaa sana. Sasa hapa ina maana speed yao ni ndogo ndio...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Chizi computer kwa wale wenye machine hp dell toshiba samsung fujust nanyengine chizicomputer ata wapa maelekezo kutoa bios lock 0712484995
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee nawashauri mtumie hiii...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Jaman nko katka wakat mgum, hyo namba inanisumbua lakn mmiliki wake smjuw! Tafadhali,mwenye skills za intelijensia, anipe data za hyo namba ni nan na yuko wapi?
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Poleni wana JF wote kwa majukumu. Ivi karibuni nimejiunga na hiyo bank ili niweze kupata baadhi ya huduma zake za kibenki while I am at home or anywhere provided internet ipo. Nishapewa ID na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jioni njema wana jamii wenzangu. naomba msaada wenu wa smtp ya Zantel.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jaman wana JF.Nimeuziwa monitor aina ya IBM flat scree,Haina cable hata moja.Je inatumia cable sawa na flat screen nyingin au IBM Cable zake ni tofauti? Vp indumu au ni bomu?sijui vitu vya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
wazee natafuta sana kitu kinaitwa sage accpac 5.4,tafadhali msaada!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimenunua modem ya voda juzi tu. Tatizo inakula sana. Nimeongea na customer care usiku sana maana muda wa mchana hawapatikani. Jamaa akaniambia kununua bundle niweke elf 10 kisha nitume neno...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Naomba mniambie niwapi nitapata kujifunza hizo program. Nipo Dar es Salaam. Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani!!! Is there means I can have software set up file for the microsoft project 2010 or later?
0 Reactions
0 Replies
881 Views
WanaJF mambo vp?. Kuna chaneli mpya ya Star tv ya Mwanza imeanzishwa inapatikana kwenye satelite ya NSS12 ku_band _57degree East inapopatikana KBC1 ila bado wako kwenye majaribio kwa parameter ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi Just sharing, links are working Windows Server 2008 Bible http://www.megaupload.com/?d=2U0TK5BA Windows 7 Bible http://www.megaupload.com/?d=HLLHAPJC Microsoft Office Visio 2007 Bible...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
NEW YORK—Google Inc. hopes to nudge consumers and merchants into a world where the smartphone has replaced the wallet as the container for credit cards, coupons and receipts. While it tackles...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za mida hiii natumaini kuwa wote wasoma hii kitu ni wazima.... sasa wanajamii nataka kujua kama naweza kupata zile sms center number ambazo naweza kuna katuma sms for free jombaa..maujanja...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wadau samahani hiv kuna altenative ya kudownload nyimbo kwenye website yenye vikwazo vya kudownload kikiwapo cha kuilipia nyimbo kwanza kabla ya kudownload?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…