Chaneli mpya ya star tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaneli mpya ya star tv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, May 29, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  WanaJF mambo vp?. Kuna chaneli mpya ya Star tv ya Mwanza imeanzishwa inapatikana kwenye satelite ya NSS12 ku_band _57degree East inapopatikana KBC1 ila bado wako kwenye majaribio kwa parameter ya 11508/4080/H
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  KBC1 unamaanisha nini mkuu?
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  chaneli ya runinga ya serikali ya kenya
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  So inaitwaje?hyo ya sahara comunication?i.e ya startv
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inaitwaje? ni ya mjumuiko wa mambo yote au ni based kwenye documentaries, music oriented channel, soccer, news oriented, religious, cartoonist or...?
   
 6. m

  martin maranja New Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inahusika na mambo gani.? Na iko for temporary au niaaje...inaitwaaje..?
   
 7. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Nimewaambia bado iko kwenye majaribio haijajulikana itakuwa inahusika na nini kwa sababu inafunguliwa kwa masaa machache baadae inafungwa inaitwa STARTV_DAR_FEED
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  usikute ndio njia wanayoitumia wakifanya 'live broadcast' kutoka Dar
   
 9. G

  Godfreymk Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo kwenye majaribio muda si mrefu itakuwa released
   
Loading...