Hivi nawezaje tumia altenative hapa

Hivi nawezaje tumia altenative hapa

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau samahani hiv kuna altenative ya kudownload nyimbo kwenye website yenye vikwazo vya kudownload kikiwapo cha kuilipia nyimbo kwanza kabla ya kudownload?
 
Kisheria hakuna, labda uwe mwizi.
 
Acha kujipendekeza.
dah boss kang sio kihivyo mzazi ombi ni altenative tu coz kama ni sheria kuanzia hao wanaozitunga hawazifanyii kazi kama zilivyo nao pia huwa wanachek altenative so w a just try 2 dance acording 2 beat linavyokwenda mkubwa kama unaidea kuhusu hili swala i need your assistance!
 
daaah mwana mi naona alternative ni kuiba credit kard yangu uta download buuuuuuuree
 
ebu kuwa specific toa mfano wa hiyo tovuti na huo wimbo unaotka kudowload?
 
Nakushauri tumia mozilla fire fox (browser) nenda kwenye tools>add-ons then search download mp3....itakuletea addons ambazo utachagua itakayokuwezesha kudownload mp3,then install restart browser shusha mzigo
 
Back
Top Bottom