nilikuwa natumia nokia 5130c-2, nilipotaka baadhi ya huduma kwenye internet wanasema ni kwa ajili ya cm zenye3G. Naomba anayefaham aina ya cm hzo anisaidie, zile za nokia.
nina laptop yangu aina ya accer Aspire one D255E nilibadilisha window juzi kutoka window 7 starter kwenda window 7 ultimate ilipomaliza kuinstall window files nikaingiza crack zake zen ikaanza...
sijui hili tatizo niweke vipi nieleweke. yaani sijui nilibofya wapi then icon %90 zinakuwa kitu kimoja-default katika kufungua program yoyote. mfano muda huu hizi icons ziko katika muundo wa...
My McAfee has not been working it does not start automatically when I boot my computer that I needed to uninstall and reinstall the application. How can I prevent this problem from happening...
This appears to be the case with a 17-year-old Chinese boy who reportedly decided that he would not give his right arm for an ipad 2, but he would give his right kidney.
he said this
I know, I...
Wana JF
Naombaa kuwasilisha kitu ambacho nimekigundua leo.
Nilikuwa na search uwezekano wa kuichakachua modem ya Zantel EC226. Nilichogundua kuwa modem za kwanza walizoziuza Zantel zote...
wako ndugu jamaa na marafiki wengi sana wanaopenda ku tazama kipindi channel ya emmanuel Tv kutoka nigeria(The synagouge church of all nations) lakini kutonana na antena zetu hatuwezi kuishika hii...
Ndugu wana JF,nime-download movie niki-play inanipa message "This video is encripted.please download the codec from www.infoavi.com" . Lakini nikienda kwenye hiyo address siipati. Naomba mwenye...
Wakuu wataalam naomba msaada wenu. Nina laptop ambayo caps zimelock, nikiandika ninakuwa kama nimeweka capitals, kwa hiyo siwezi ku log in na password yangu maana inaandika password na...
Nilinunua Modem ya Vodacom aina ya ZTE, Vodafone K3570-Z. Nilihangaika sana kuifanya iweze kutumika kwa kila mtandao. Bahati nzuri nikatembelea mtandao fulani ambapo mtu kwa jina la Shahnawaz...
Wakuu wa IT nisaidieni nimekwama hapa.
Natumia Eclipse kama IDE.
Apache kama webserver
Tomcat kama container
Lakini flash file iliyopo kwenye heder.jspf inagoma kuwa displayed.
Hii ndio...
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona...
ICT ni sehemu ndogo ya Teknolojia.
Siku si nyingi tutasikia bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka 2011/2012.
Niko interested na nawashauri wadau wote wa ICT ni vizuru tujaribu kutafuta...
wadau naomba msaada wenu, nahitaji kuwa na web yenye domain name ya .co.tz, niwaone nani ambao wanabei nzuri kwa usajili? na ni nani na nani wenye mamlaka ya kusajili? vilevile na webhosting...
Natumia notron antivirus ktk computer but two weeks ago imejiturn off, and it always alerting "your norton antivirus turned off." Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuturn on