Natafuta software ya ku-hide mafaili na folders

Natafuta software ya ku-hide mafaili na folders

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Naomba msaada wana JF. Natafuta software ya kuweka password kwenye files na folders zangu. Tafadhali kwa anayejua anijuze.

Natanguliza shukrani zangu
 
Hivi hapa ni pakuuliza vitu kama hivi jamani?? na Google itafanya kazi gani......

Tusiendekeze kujibu kila kitu, mtu ajishughulishe kwanza.... watu wanakaa tu kusubiri wenzao wawatafutie kwenye Google.....inabore!!
 
Akili zako kama paka wa avatar yako wewe unafikiri wote wana uwezo wa IT kwamba yanapatikana kwenye google?
 
@Bushbaby, jaribu ku-watch movie inaitwa "3 ******" itakusaidia... Kuna dingi mmoja huko anaitwa viru aka virus mcheki fresh then atakusaidia! Pia usikize maneno aliyosema rancho wakati kaambiwa afundishe....

Poa poa!
 
Bwana @mawenzi.... Jaribu truecrypt, inasaidia kutengeneza drive ambayo access yake ni kwa password!
 
Back
Top Bottom