Tatizo kubwa la .co.tz DOMAINS ni urasimu tu wa kuzipata. Bei iko juu kuipata. Ikiwa .com inakuwa rahisi sana...
Hosting inategemeana na site ya mtu, kusema UNLIMITED kila kitu ni uwongo wa mchana. Halafu FREE HOSTING inayoongelewa na mdau hapo juu sijaelewa ikoje, unaweka tracker kwenye sites za watu wako? Unaweka adsense kwenye sites zao? Unalipia server na kutoa service BURE? Unafanya daily backups? Unafanya additional installations za apps?
SISI:
Tunafanya hosting kuanzia $5 na kuendelea, tuna servers 3 tofauti kulingana na client anayekuja. Tunatoa support in 5min (response via email) na kufanya installation ya apps zozote ambazo client anataka BURE (kama ni open source). Tunapokufanyia hosting hatuku-limit juu ya email accounts za kuwa nazo. Tunafanya daily backups, tunatoa ushauri kwa client kama kuna kitu anataka kufanya na hana uhakika nacho.
Web design hatufanyi kwa kuhesabu pages au kukisia, tunamsikiliza client kujua anahitaji nini hasa. Hatufanyi design kwa kunyofoa templates sehemu, client analeta requirements na tunaanza design kwa stages mpaka client aridhike kisha tunabadili image kwenda kwenye tovuti halisi.
Zaidi wasiliana nasi kwa email iliyo kwenye signature yangu (kama unahitaji services zetu)