Bajeti ya tanzani na ict | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya tanzani na ict

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jun 3, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ICT ni sehemu ndogo ya Teknolojia.

  Siku si nyingi tutasikia bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka 2011/2012.

  Niko interested na nawashauri wadau wote wa ICT ni vizuru tujaribu kutafuta data za vifungu vya matumzi amabyo vitengo na idara zaserikali zimepanga kutumia specificaaly kwenye mambo ya ICT.

  My initial observation ni kwamba kuna miradi mingi sana ya ICT kwenye wizara na idara lakini end product yake haina viwango na manufaa yake hayako wazi. au ina underprform. Mfano mdogo ni tovuti za wizara na idara nyingi.

  So kama watanzania na wana ICT twende hatua moja mbele

  • Tuunde team amabyo once a month itakuwa inatoa mapendekezo formaly kwenye wizara na idara juu ya mapungufu tuliyaona au kuwapongeza juu ya ufanisi tuliuona kwneye mambo ya ICT

  • Tujaribu kutengeza Evaluation model inayofaa kutumika kwneye kupata ana na vfifaa sahihi vya i ICT na bora kwenye ofisi za serikali eg computer, scanner. Matumizi makubw aya serikali yako kwenye manunuzi na vifaa vya ICT ni vya gaharama sana.

  • Tujaribu kupata taraifa computer system project or systems zilizopo ofisi mmbali mbali kuona kama zina deliver to their maximum capacity. Eg Tume ya uchaguzi ina Database. Je inatumika to its maximum au ni seasonal.? Je lIdaraya polisi ikitaka kuwa na database ya wakazi si vema wawe na views kwenye database hii? Au na wao wanaanzisha yao mpya?
  NB.
  Maxence Melo sijui kama anaweza kutusaida kuomba summary ya makadirio ya matumizi na miradi ya ICT GROUP by Idara / wizara / Mikoa kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha

  Sure we can consult our goverment wht is best sio Lazima kina patel au gupta. and we can do it for free.


  Nawasilisha sijui mnasemaje wadau.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hoja yako ipo makini ingawa kwa wahusika ni kama kuwanyanganya tonge mdomoni.
  Nchi hii ilivyo ya ajabu wala huwezi ona reflaction yake katika bajeti wakati pesa inayo tumika kwa ict ni mingi inaingizwa katika miradi ya maendeleo sijui nanini nanii.
  Tukiamu kweli tunaweza kufanya jambo jema kwa kufanya Evaluation model itakayo toa mwogozo mzuri wa kizalendo wa ict kuliko kuwatumia "washauri waelekezi" akina gupta na patel ambao wapo kibiashara zaidi

  Mmmmh hiyo signature yako kaka imenifurahisha
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes unajua binafsi sina tatizo la gupta au patel kudevelop tovut au systemi ya serikali. Hata angeuwa masanja. Tatizo ni pale unapooona Tovitu au system amabyo inakuwa mntained kwa milioni kwa mwezi au imetengezwa kwa maesa kiabo lakini kiwango chake hakiendani.

  My be itabidi tusaide kupoint out mapungufu amabayo wao serikali kama wateja watawamaabia hao developer badala ya wao kuwa wasiilizaji tu.

  BTN
  Hii siganture ni kuonyesha usanii wa watu wetu wa upinzani na wale wa kwenye chama tawala.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni wakati serikali ianzishe cheo ha Director of Information Systems katika ngazi ya mikoni na wilayani. katika dunia hii ya dot com. Waiajiriwa watu sahihi wakaewa amjukumu sahii na mamlaka.

  Inasikitisha kuona si mikoa si wilaya inatambua na kutumia fusra za ICT zilizopo.

  katika dunia hii ya dot com. Wakiajiriwa watu sahihi ,wakapewa majukumu sahihi ICT ina mchango mkubwa wa kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii.

  eg Dunia inajua tanzania wa Vivutio vya utalii vilivyopopo arrusha na mbugaza wanyama tu. lakini Tanzania ina utajri wa vivutio ambavyo havijulikani sehemu mbali mbali.
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kuna ile sera ya ICT ya 2001 sijui hata inasemaje maana hapa katikati pametokea mageuzi mengi ya kiteknolojia, pia kunakipindi nilisikia jk anafanya mazungumzo na microsoft kututengenezea database na vitu kama hivyo serikalini, sijiu imeishia wapi?

  Mimi nadhani kunahaja ya serikali kuwaamini watumishi wake inao waajiri na kuachana kabisa na huu upuuzi wa kutafuta akina gupta kama washauri elekezi kuamua ni mfumo gani unafaa na mashine gani zitumike maana hawa wapo kibiashara zaidi, Mimi naamini hawa ndio wanapotosha kwa kutoa ushauri elekezi unawao wapatia tenda na kuishauri serikali ijitoe katika kumaintain hizo mashine hivyo kulazimu kuwa na watu watakao kuwa wanazishughulikia muda wote na mwisho wa mwezi wanavuta fungu nene.

  Kutengeneza website kunahitaji mtaalamu sawa, lakini kunahaja gani ya kutafuta kampuni itakayo kuwa inamaintain website ya idara kwa kufanya updates maintenance nk? huku si kupeana ulaji tu, na je wale walio ajiriwa wanafanya nini sasa ofisini?
  Kibaya zaidi wanafunga mitambo na kuitegesha baada ya muda inastop inabidi waitwe kuja kurekebisha hapo tena fungu linazidi kuwa kubwa.

  Sasa hii wakati mwingine inawafanya hata ma ict wetu kurelax maana karibu kila kitu wanafanya kutoka nje ya ofisi hivyo wanakosa ubunifu,
  iandaliwe sera upya itoe mwongozo baada ya upembuzi yakinifu kuwa kila idara, ofisi nk inahitaji ict ya namna gani kuboresha na kuleta ufanisi wa kazi, waajiriwe vijana waliomaliza vyuo wapo wengi mtaani wafanye kazi, naamini wanaweza kabisa maana hawapo pale kugundua wala kudevelop program just kuafanya kulingana na sera sahihi zitakazo kuwepo.

  Kwasasa sifikirii sana kudevelop masoftware nk ingawa sio vibaya, isipokuwa nguvu kubwa iwe ni kingiza mifumo yetu ya kiutendaji pale itapo bidi iweze kwenda na dunia ya leo. ni ngumu kuendelea kama hata mifumo yetu bado ipo kizamani, inamtia mtu uvivu hata kuja kuwekeza nchini
   
Loading...