p { margin-bottom: 0.08in; }
Nimeshindwa kuondoa hili tatizo,kila napojaribu kurun code hizi kwa kutumia Mozilla firefox Napata hii meseji
Warning: Cannot modify header information -...
tafadhari wana jf naomba kujua kama kusikiliza free on air radio kupitia internet kuna gharama? maake juzi nilijaribu kuangalia mechi ya simba kupitia mtandao sijamaliza hata dakika tano elfu...
Breaking all NOKIA Symbian smartphones
The author of this miracle: stas686, an improvement from CODeRUS.
The newest way to hack NOKIA Symbian with the new firmware without a PC and...
waheshimiwa, tafadhali, naombeni mwenye uzoefu wa hizi moderm za internet za mitandao ya simu anisaidie kitu hiki, mwanzoni nimekuwa nikitumia zantel kwa muda mrefu, nilikuwa Dar es salaam...
Need help...
I am coding ma project using C sharp on Visual Studio 2008.. Recently ma visual Studio is failing to load one file called "Envtde.dll"..
Actually this file (Envtde.dll) is...
wakuu nilitaka ku unlock hii mordem ya tigo nimeweka line ya Airtel nikichomeka ktk usb ili itokee unlock box niweke unlock code unlock box haijitokezi badala yake ina inatoka massage inasema...
Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps.
hapa imeshuka hadi 2.50mbps.
Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa...
Wataalamu naomba kuuliza, je hawa startimes wameanza kurusha matangazo mkoa wa kilimanjaro,kwa kua kuna ndugu yangu amenunua anasema hakuna signal, i mean hakuna strength wala quality zote zipo...
HELLO JF
nimejaribu kusaka hapa na pale na nimeona website nyingi zinauza aina fulani ya connector kwa ajili ya kuunganisha modem ya tigo na external antenna.
ila sijajua hii connector inaungwa...
Natumia printer aina hiyo hapo juu imekuwa na tatizo kila ninapojaribu kuprint inaniambia "Dust bin is full, remove dust bin."
Nimejaribu kuangalia hiyo dust bin ipo eneo gani la printer...
Wana jf,pc yng ilikua ukiwasha yaleta vimsg dat internet download manager has 2 b regsterd,ambapo nkitaka download v2 vyagma mpk ni rejista IDM,asa serial namb cna,nkaamua kui uninstall,sasa nktk...
Wakuu naombeni msaada!
Nataka kununua E-book reader, nimezunguka maduka kadhaa hapa Dar lakini nimekosa. Option niliyonayo sasa ni kuagiza. Kwa wazoefu wa E-book readers, je ni ipi katika ya...
wanajamvi habarini..
Jamani hizi simu za blackberry naona zinanitesa mno,.. naomba kama kuna namna naweza fanya nikapunguza mateso haya tusaidiane pliz..
inanigomea kwenye internet kila...
Hamjambo wataalam!?
Nimechoka kunununua charger mpya kila siku kwahiyo naombeni msaada/mwongozo wa kutatua tatizo langu.Nna kimeo changu(laptop) cha HP 550 kwa miaka miwili sasa,...kinanitesa...
Ninapoandika thread hiii ninatumia modem yangu niliyochakachua muda si mrefu.kwa sasa natumia mtandao wa airtel kuwa online.if u dont bother pm me and i will help u at my conviniency...
Ndg zangu wapendwa kumekuwepo na malalamiko mengi sana kuhusiana na wizi katika zap account na m-pesa. Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua kwamba kuna makosa yanayo fanywa na wamiliki...