Msaada; HP Laser Jet P2055d (Printer) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; HP Laser Jet P2055d (Printer)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kichwa Ngumu, Jun 9, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Natumia printer aina hiyo hapo juu imekuwa na tatizo kila ninapojaribu kuprint inaniambia "Dust bin is full, remove dust bin."

  Nimejaribu kuangalia hiyo dust bin ipo eneo gani la printer sijaiona nifanyaje wadau?
   
Loading...