King'amuzi cha startimes mkoa wa kilimanjaro.

King'amuzi cha startimes mkoa wa kilimanjaro.

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
926
Reaction score
638
Wataalamu naomba kuuliza, je hawa startimes wameanza kurusha matangazo mkoa wa kilimanjaro,kwa kua kuna ndugu yangu amenunua anasema hakuna signal, i mean hakuna strength wala quality zote zipo zero, au zinahitaji antena ya nje.
 
Jaribu kutumia Antena ya nje, usitumie antena zao hazina nguvu kulinganisha na Antena za kawaida.
 
Jaribu kutumia Antena ya nje, usitumie antena zao hazina nguvu kulinganisha na Antena za kawaida.

nashukuru kwa msaada wako but nilitaka kupata uhakika zaidi wameshakua hewani mkoa wa kilimanjaro mwenye details naomba msaada.
 
Back
Top Bottom