Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps.
hapa imeshuka hadi 2.50mbps.
Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa hivi hivi.
Hii ni IP Adress ya tiGO ....
Hapa nilikuwa napima speed nayoipata wakati na download,
ambayo download speed ni 2358 kbps,(294.8 KB/sec transfer rate)
Kuna mdau hapo juu amesema kufikisha speed ya 100KBps ushukuru Mungu, wakati mimi speed yangu ya kudownload ni 294.8 KB/sec
...................................................................................................................................................................................................................................
Naomba nielezee kidogo kuhusu tofauti kati ya kbps-kilobitspersecond na KBps-kilobytespersecond kama ninavyoelewa! Connection speed ya internet siku zote huandikwa in kbps, mbps au gbps. Lakini data transfers speed (actual speed ambayo file lako llinakuwa received na computer yako) siku zote huwa in KBps, MBps au GBps. Kama virefu vinavyoonyesha hapo juu kuna maneno mawili yanayotofautiana ambayo ni bits na bytes. kwenye connection speed wanatumia neno bits while kwenye download speed wanatumia neno bytes. kwakuwa yote yanaanza na herufi b, ili kutofautisha vifupi, yenye bits itakuwa na herufi ndogo tu while yenye bytes itakuwa na herufi kubwa mbili za mwanzo(KB/MB/GB). Hayo ni makubaliano tu.
Another important fact ni kuwa bits na bytes ni quantity of data. yani kama uzito kuna kilogram, miligram etc. we know 1 kilogram = 1000 gram! kwenye data transfer 1 byte = 8 bits.
Kwahiyo ukiona connection speed ya 2.5 mbps then gawanya kwa 8 to get the rate in bytes yaani MBps. Kwa hapa unapata 0.3125Mbps Changing that to KBps ni 376.25 (0.3125 x 1024). Hii inamaanisha at the connection ya 2.5 mbps unatakiwa upate up a MAXIMUM of 376.25 KBps ya download speed (actual speed ya kureceive file).
CONCLUSION AND QUESTION:
from the info bwana uncle umekaribia kuniconvice nihamie tigo ila jambo moja tu! the only company i know wanaotoa ulimited internet ni VODACOM TU! Everybody else anatoa bundle ie unatoa kiasi fulani cha pesa unapata kiasi fulani kama 2500 tzs kwa 400mb za aitel. Wewe umesema hujui ni kiasi gani na nimewahi kuwapigia wakasema hawawezi kuniambia (sijui kwa sababu zipi) UMESHADOWNLOAD GB NGAPI SINCE ULIVYOJIUNGA NA HIYO BUNDLE! Umefika 20+ GB?
Thank YOu!
Mkuu, shukrani sana kwa kuwapa ufafanuzi wa Kbps na KBps....
Mkuu, sina maelezo mengi sana ila ni kwamba nimejiunga na hii bundle tarehe 21/4/11 hivyo package yangu imeisha jana na nimejiunga tena leo asubuhi, na hadi sasa nimeshafikisha karibu 50GB, natumia kwenye desktop na laptop, na download zaidi kwenye desktop kwani uwa naicha usiku kucha ikidownload, hii picha hapa chini ni kutoka kwenye laptop.