JINSI YA KUIONGEZEA NGUVU MODEM YA TIGO HUAWEI e153

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
HELLO JF
nimejaribu kusaka hapa na pale na nimeona website nyingi zinauza aina fulani ya connector kwa ajili ya kuunganisha modem ya tigo na external antenna.
ila sijajua hii connector inaungwa wapi. najua kuwa ina internal antenna lakini ma gurus wanai ungnisha na external antanna. jee inabidi tuifungue ndani au kile kipini cha nje karibu na mdomo wa USB ndio inaunganishwa.?
msaada please
 
naomba kuuliza,hiyo moderm kwanini inahitaji external antenna because to me it seems like a mobile phone needing an external antenna-inakuwa na nguvu sana or what
 
NI HICHO KIPINI CHA NJE PEMBENI YA USB MKUU,HATA MI NAITUMIA HIYOHIYO!CONNECTOR (PIGTAILS ZINAPATIKANA K.KO MADUKA YA MADISH NA VIFAA VYA UMEME.:glasses-nerdy:
 
naomba kuuliza,hiyo moderm kwanini inahitaji external antenna because to me it seems like a mobile phone needing an external antenna-inakuwa na nguvu sana or what

yes,inasaidia kwenye sehemu ambazo 3g haipatikani kwa urahisi,eg.nje ya mji jomba.
 
Tunahiji more info kwa wale wanaojuwa, wengi tunasumbuka na low signal.
 
NI HICHO KIPINI CHA NJE PEMBENI YA USB MKUU,HATA MI NAITUMIA HIYOHIYO!CONNECTOR (PIGTAILS ZINAPATIKANA K.KO MADUKA YA MADISH NA VIFAA VYA UMEME.:glasses-nerdy:

Please tueleze zaidi katika hicho kipini cha nje, unatumia waya gani? jee ni coaxial cable (75 ohm) kama ule waya wa antenna. au waya wa kawaida wa umeme. ? kama ni waya wa antenna una mbili ule nje na ndani jee unaunganishaje.?
 
NI HICHO KIPINI CHA NJE PEMBENI YA USB MKUU,HATA MI NAITUMIA HIYOHIYO!CONNECTOR (PIGTAILS ZINAPATIKANA K.KO MADUKA YA MADISH NA VIFAA VYA UMEME.:glasses-nerdy:
Mh! Siokweli, hiyo sehemu ni kwa ajili ya kufunga uzi, angalia hata kifuniko chake kinatundu ya kupitishia uzi huo. Anglia modem za zantel ndio utaelewa zaidi.
 
Mh! Siokweli, hiyo sehemu ni kwa ajili ya kufunga uzi, angalia hata kifuniko chake kinatundu ya kupitishia uzi huo. Anglia modem za zantel ndio utaelewa zaidi.

sasa unambishia nini? ameshakwambia yeye anatumia hivyo na amefanikiwa? pengine ni multi purpose yaani kipini kina kazi zaidi ya moja?

vitu vingi hata baadhi ya viungo vyetu i mean parts of our bodies vina kazi zaidi ya moja...............:becky:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom