Mbona hueleweki, unaongelea kuangalia video au kuskiliza radio? Unapofungua ukurasa wowote kwenye mtandao unadownload bites kadhaa ambazo ni pesa, unapotuma mail yoyote unaupload bites kadhaa ambazo ni pesa;
Mimi huwa naskiliza online radio karibia masaa6 kwa siku, bahati mbaya sjawahi kufuatilia huwa zinakwenda mb ngapi kila saa! Watching online videos ni costly sana kama una ka-plan kakishkaji!