Najuuuuta kum HACK facebuku..huyu demu!!

Najuuuuta kum HACK facebuku..huyu demu!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
Hellow Jf!!

Kuna njia nying za ku HACK facebook accounts zipo hapa How to hack facebook password | Learn How To Hack - Ethical Hacking and security tips Nimefanya nimefanikiwa, Victim wa kwanza ni Ki demu changu nyumba ndogo.

Niliyo yakuta huko...dah bora nisingejaribu....SWEETHEART tupo kama 15 hivi. HONEY ndio oh!! kibao..hizo meseji sasa mtumeeeee!!!!

kweli nimekubali jamaa mmoja alisema HACK upate pesa na si ku hack mademu....katoto kenyewe kadogo ila mambo yake ah!!

Give a try guys muone. ukishindwa PM me.!!! aha

page niliyotengeneza ni hii akavutiwa na title ya page....mweeee!! http://www.tanzania.net23.net/http://www.tanzania.net23.net

sijui kama tutapona.
 
Acha uongo huwezi hack account hata kidogo FB sio wajinga kiasi hicho
 
au kwann usifungue hiyo tanzania.net23.net ukapata majibu!
 
Umenikatisha tamaa ya kuhack account ya nyumba ndogo yangu. Nikikutana na hayo mambo ya sweetheart 15 nitajipa presha bure.
sasa ingekuwa nyumba kubwa si ningeua mtu! Sasa sijui nimnyanganye ac kwa kuchange password yake au nikaache tu kale maisha..
 
Kaache kale maisha tupo wengi kaka ukikabania tutakapataje tena..tupe jina basi
 
haha ha mkuu haya bana. Ila umeona trick ya kuhack mtu! Hapo juu
 
Nataka uhack password yangu. Nifanyeje?
 
Nataka uhack password yangu. Nifanyeje?

inategemea. Je unataka kujaribu njia niliyotumia mimi hapo juu ya kufungua tanzania.net23.net au unataka nikuhack kivipi. Ni PM email yako halafu tutaangalia wapi tutafika naweza kufanikiwa au nisifanikiwe. Yote posible mkuu
 
Nataka uhack password yangu. Nifanyeje?

inategemea. Je unataka kujaribu njia niliyotumia mimi hapo juu ya kufungua tanzania.net23.net au unataka nikuhack kivipi. Ni PM email yako halafu tutaangalia wapi tutafika naweza kufanikiwa au nisifanikiwe. Yote posible mkuu
 
Back
Top Bottom