Msaada khs Betri wakubwa!

Msaada khs Betri wakubwa!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau naomba kujuzwa vp kuna laptop hapa amekuja nayo ndugu yangu betri haifanyi kazi mpaka kutumia power cable(charger) hivi kuna uwezekano wakuirekebisha hii betri ikafanya kazi? Na je kwamfano kununua mpya inakuwa bei gani na ubora wake unakuwaje?
 
Hii laptop nnayoiongelea ni dell D630!
 
tafuta universal adaptor Kat ya Tshs 50,000 - 80,000/= mpya kama sikosei...na zinafanya kazi poa tu!!!
 
tafuta universal adaptor Kat ya Tshs 50,000 - 80,000/= mpya kama sikosei...na zinafanya kazi poa tu!!!

sasa hzo universal adaptor zinafanya kazi kama betri au charger?
 
hakuna uchawi zaidi ya kununua betri mpya ambayo gharama zinapishana ila haizidi laki na nusu.
 
Back
Top Bottom