Mabagala
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,480
- 325
External Hard Disk yangu ilidondoka kutoka usawa wa kitanda mpaka sakafuni, na sasa haifunguki na wala haisomi kwenye computer yoyote ile. Rafiki yangu kanipa mwanga tu kuwa huenda motor yake imezimia ama imekufa. Natafuta fundi kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi kwa muda tu, angalau nipate kuhamisha files zilizomo kwenda kwenye computer ama hard disk nyengine. Mwenye kuwafahamu hawa mafundi tafadhali naomba tuwasiliane. External hard disk yenyewe ni aina ya SeaGate na iko na 500GB. Napatikana kwa 0713589106.
Natanguliza shukrani nyingi
Natanguliza shukrani nyingi