Habari wakuu, nokia n900 brand new,
32 GB 256MB RAM, Card slot: Micro SD up to 16GB, GPRS class 32.
speed: HSDPA,10Mbps, HSUPA 2Mbps
wi-FI, camera: 5MP, 2576 X 1936 pixel.
Bei inauzwa laki 6 na...
HAYA KWA WALE WANAOTAKA KUMTUMIA MTU EMAIL PASIPO NA KUUNGANISHA INTERNET CHUKUA HII. MASHARTI YAKE UWE NA ACCOUNT YA www.gmail.com NA UWE NA WEB BROWSER YAKO IWE NI GOOGLE CHROME KAZI KWENU VYA...
Kwa wale wanapenda kuropokwa maneno yasofaa, jamaa wapo kazini 24/7 ukija kukosa viza ya kuingia state usishangae; kumbe kuna mahala uliharibu na wenyewe wakakuona.
CIA
Wakuuu salam,
Mwenzenu nimekwama nahitaji msaada wenu,
Nimeletewa hiki kisimu cha nokia kutoka uk huko alikuwa anatumia mtandao wa 3 ila tangu niipokee kila nikiweka line yoyote ya Tz naona...
a spam was switched to my fb account, scanned my pc with antii malware, still the same problemoo, neverthe less my google chrome is corrupted nw,, ur assistance please memberz inda hauc :A S-coffee:
kuna hii kitu inaitwa Sema na Airtel inakuwezesha kutuma sms free kwa mteja wa Airtel aliyejiunga kwenye hiyo service (yes ni 0Tsh/SMS)KujiungaKujiunga unatuma sms neno Jiunge unaacha nafac...
Nime-install Nokia PC Suite kwenye PC yangu. Ninajaribu kuunganisha simu itumike kama modem kufungua intaneti, inajaribu kuunga then inakata. Ninatumia bluetooth kama medium. Na simu ni Nokia...
Wakuu naombeni msaada wenu ya settings ya internet ya hii simu ya andiloidi.. nimejaribu Airtel kutuma msg ya settings wakasema hii simu gaisupport settings hizo mpaka nipige huduma kwa wateja...
Now a days the technology so improved. Now we can access facebook without using internet connection as well as without computer. Have u shocked? . Hey its real. Now we can access facebook by using...
Ndugu wanajamvi wataalam wote kila fani mim nilikuwa na wazo.Tatizo la uchakachuaji mafuta imekuwa fashion sana tanzania.Nazan lingekuwa ni tatizo la kidunia mda mrefu wenzetu wangekuwa...
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.
wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana...