modem ya orange | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

modem ya orange

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Change_it, Dec 26, 2011.

 1. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakuu maelekezo ya jinsi ya kuchakachua hii modem ya orange
  ZTE AC2726
  CDMA
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ina slot ya sim card? na ukiweka line tofauti ya Orange ina prompt nini au inasemaje.. na sofware yake yakukonnect inaitwaje?
   
 3. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nikiweka line ya airtel inaonyesha hivyo hapo chini
  Capture.PNG

  nikiweka line ya line safaricom inaonyesha hivi
  f.PNG

  software ya kukoconnect ni orange
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok inagoma Airtel coz hao ni mfumo wa GSM so hi ukiweza ichakachua utaweza tumia sasatel, zantel na ttcl tu, ok cna uhakika sana lakn i thnk modem yako hajawa locked bali iyo software ya orange.. Subiri nikikaa fresh ntakutaftia software flani ya cdma itakuwezesha utumia hio mitandao niliotajata apo juu.
   
 5. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shukrani mkuu, nasubiri
   
 6. c

  cc_africa Senior Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ninavyo jua line za safaricome zinawekwa pin on. Sasa jaribu kuweka pin number ambayo utaipata kwenye ile kadi ya safaricom uliotowa line yako,kisha Weka hzo pin.
   
 7. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba ninata ipige kazi kwa kutumia line za kibongo mkuu
   
 8. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok nimeiupload iyo software filesonic coz kwingine inagoma ndo maana ataivo nimechelewa kuileta hapa.. ok idownload kutoka

  hapa: Download ZTEMT_UT_setup.rar for free on Filesonic.com

  Apo tumia premium account kudownload:

  username: Fileuser1

  password: micuenta

  Wat to do ni ku unistall iyo iliopo itoe kabisa then chomoa na modem kisha download hii nilioupload.. extract it.. then install..

  sasa weka line ya Zantel, Ttcl, Sasatel, e.t.c kwenye modem na uichomeke then ifungue iyo software utaona imeisoma fresh..

  apo kwishney utaweza connect bila shida.. but as i can remember hii modem haisupport Hybrid just CDMA x1 namaanisha

  utapata speed ya only 156 kbps baadala ya Hybrid ambayo ni 3.1mbps I could be wrong lakini as I can remember hayo ndo

  nilikutana na hii modem wakati huo!!! So fanya hivo and usisahau kuleta Feedback :poa
   
 9. c

  cc_africa Senior Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bac nunua ya hku bongo kwanini upate tabu. Hyo ya orange inatofauti gani na ya zantel cdma?
   
 10. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shukrani mkuu imefanya kazi, nimetumia laini ya zantel
   
 11. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jomba inaonekana una kimbele front kwani mm sijaziona za kibongo mpaka uniambia nikanunue,kama hauna skills kaa kimya angalia na ujifunze shenzi taipu.
   
 12. c

  cc_africa Senior Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante. Hutaki ya apple ya kuanlock.
   
Loading...