Msaada kuunganisha Samsung GT-15500 andiloidi na huduma ya internet

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Wakuu naombeni msaada wenu ya settings ya internet ya hii simu ya andiloidi.. nimejaribu Airtel kutuma msg ya settings wakasema hii simu gaisupport settings hizo mpaka nipige huduma kwa wateja... ile n.o ya Airtel ya kuwapata direct nimeipoteza nimeweka Tigo napiga 100 nasikilizhwa mziki tuu.. so naombeni msaada wenu wa manual configuration au uniungaje hii simu kwa Airtel na Tigo...
NATANGULIZA SHUKURANI!...
 
Andiloidi ndo cmu gan? Kajifunze kwanza kuandka ndpo uje humu. Lugha yenyewe hauwez je utawezaje ku2mia hyo cmu.. Halafu kumbuka kuwa shule mnafungua tarehe 7 mwez ujao.
 
do this
open menu
go to application
select settings
select wireless and networks
go to mobile networks
on "use packet data" enable by checking the box
go to access point names
press the menu button utaona +New APN
select +New APN
Go to APN
andika neno"internet"
then choose OK
then choose SAVE
done!
after some few seconds icon ya internet itaappear-ready to browse and use internet apps
NOTE: ni Android sio andiloidi--wenyewe wanaweza kukshtaki ukafilisiwa tusikuone humu
 
wakuu!!! nashukuru kwa msaada yenu nilishafanikwa nkasahau kuja humu.. Du watu bwana so kabisa uldhani sijui kama ni android sio? na watanshtaki sio? haha daah aya bna mnajua nyie mie sijui bna mimi najua inaitwa andiloidi bna! lol!
 
Andiloidi ndo cmu gan? Kajifunze kwanza kuandka ndpo uje humu. Lugha yenyewe hauwez je utawezaje ku2mia hyo cmu.. Halafu kumbuka kuwa shule mnafungua tarehe 7 mwez ujao.
hivi mpaka apo labda nikuulize umetoa mchango gani? ndo uone kuwa ktk tech siasa haisaidi kitu kwani hii nijukwaa la lugha? je haujaelewa ninamaanisha nini au swal langu nimelilenga wapi?
 
Back
Top Bottom