Nime-install Nokia PC Suite kwenye PC yangu. Ninajaribu kuunganisha simu itumike kama modem kufungua intaneti, inajaribu kuunga then inakata. Ninatumia bluetooth kama medium. Na simu ni Nokia 5000d-2. Paring inatambua vizuri kabisa. Je kuna hatua gani ninaweza kuwa nimekosea mpaka inakwama kuunganisha na mtandao?