Ving'amuzi vya DSTV kwa Tsh 12000 per month | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ving'amuzi vya DSTV kwa Tsh 12000 per month

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wizzo, Aug 9, 2011.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana wapi mi npo arusha.NAWASILISHA
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nafahamu kua vipo vya shs 15000 kwa mwezi na vina chanel nzuri kuliko hiyo startimes,kama sikosei kuna chanel 30,nenda ktk tawi lolote la Dstv utapata.
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni dola 10 sasa sijui ukibadili kwa pesa yetu sasa hivi sijui ni sh ngapi?
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  vinakamata kwa kutumia antena au satelite dish ? kwa anaejua atujuze
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  je vina channel ngapi na zaina gani, au kama za akina star times
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  nafikiri ulitaka kuulizi packages za DSTV.. ninavyojua mimi full package ni 110,000 hapa unapata Super Sport zote.. na kuna Midium package unalipia 60,000 hii haina S/Sport nafikiri kuna ya chini zaidi yenye limitation ya channel 30.. sijui bei yake, mawasiliano ni kwa Satellite.
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  bei ya chini kabisa: no 110000 malipo kwa mwezi no 16,000 local channel ni Tbc tu kuna channel moja ya sspt blitz.
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Zipo na za Kenya na ipo moja inayoonesha tamthiliya na movie za kiswahili ni kali kweli
   
 9. I

  Iron-rock Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo loliondo.je arusha kuna branch yao kwani nahitaji hiyo ndogo
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Dstv hakuna kitu!
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  mpe hi, babu wa samunge.
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Vituo vyote vya mafuya vyaitwa SHELIi.

  Ukiona dish tu basi ni DSTV lol!
   
 13. Emmado

  Emmado Senior Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  DSTV arusha wanapatikana karibu na IMPALA HOTEL...
  DSTV wana package kama 4
  1) dstv full package premium =$90
  2)dstv compact Plus= tshs 80,000/=
  3)dstv compact= tshs 48,000/=
  4)dstv family= tshs 17000/=
  chagua uipendayo....
   
 14. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa wafanya biashara wanaofanya biashara zao hapa Bongo kwa Dola($) wananiudhi sana, kama wanaona shilingi(Tsh.) ya Tanzania haina thamani kwao wahamie huko wanakotumia dola, hii pia inaonyesha wana watu wao waliowalenga ktk biashara yao na sio watanzania walalahoi.
   
 15. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu ni lazima uende dstv ukanunue decoder, dish na fundi wa ku-install then ndio uchague package unayotaka
   
 16. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  DSTV family ni dola 20 na DSTV access ni dola 10 ndio ya chini kabisa. Lakini lazima kwanza ununue decoder na dish yake
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  nikitaka equipment peke yake yaani dish na decoder wanauza bei gani?
   
 18. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  bei ni sawa kama hapo juu mkuu! Gharama za fundi ni juu yako,dstv wanaumiza sana japokuwa hatuna option nyingine,me nililipia fully package kwa 140000,coz dolla ilikuwa juu! Hiv hakuna wachakachuaji wa hii kitu wakuu!!!
   
 19. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nasikia wachakachuaji wapo wengi sana lakini sijawapata, ila kwa hapa JF ngoja waje!
   
 20. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  waje watupe maujanja aisee! Hawa jamaa wanatukamua sana mkuu!
   
Loading...