Kufanya Manunuzi ya Vitu Kikuu online Shop

Rdj Shibo

Member
Jan 5, 2018
53
95
Habari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,457
2,000
Habari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
Kama ni mzigo wa biashara tumia Aliexpress na kama ni bidhaa binafsi unaweza kutumia hata Kikuu au Aliexpress pia
 

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
503
500
Shida ni magent wa mikoani ni wahuni wanataka nyongeza ya pesa pia Soma feedback za watu vizuri hakikisha hawakutozi zaidi ya 1000
 

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
225
225
Kununua kitu kikuu hakikisha sio simu, kama ni simu hapo unabet, mi mara ya kwanza nilinunua ilikua fresh kabisa lakini nlivo nunua mara ya pili ilikua mbovu nkaomba return and refund, wakanambia nipeleke kwa agent nlivo peleka wakachukua na hela wahakurudisha, pumbavu sana hao jamaa, saivi Wana nambia subiri pesa yako utapewa, mwezi wa pili sasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom