Remote ya Luku inasumbua kuingiza umeme

Remote ya Luku inasumbua kuingiza umeme

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,143
Reaction score
1,837
asalaam
moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme

sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio

na hata nikiulizia salio inagoma, mbaya zaid umeme umeisha na mimi ni mfanya biashara ya samaki na nyama hivyo endapo vitakaa pasipo umeme kuwepo maana yake nitaingia hasara kubwa sana kwan vyote vitaoza

nimereport tanesco kitengo cha dharura wamedai wapo mbali

sasa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili anipe msaada tafadhali kitu gani nifanye ili kuinusuru biashara yangu

aksanten ...nawasilisha
 
Katoe silidi pale kwenye miter box (pale nje kwenye mita yenyewe)ukilifungua ndani mle kuna miter ingizia kwa hapo namba zako za luku.
Ulete mrejesho
 
Zingine zipo juu barabarani kwenye NGUZO
kama hapa home imefungwa NJE kwenye NGUZO juu
 
Katoe silidi pale kwenye miter box (pale nje kwenye mita yenyewe)ukilifungua ndani mle kuna miter ingizia kwa hapo namba zako za luku.
Ulete mrejesho
mita ipo juu sana halafu ni kosa kisheria nikifanya hivyo naweza nikanyea ndoo
 
Ungekuwa umeingi ukagoma kuwaka ningekusaidia. Hata hivyo unatakiwa uingize umene wakati umechomeka remote kwenye Socket. Ikigoma tumi socket ya jirani mwenye umeme. Socket iwe on.
 
hii ni family house....! nyumba za jirani zipo mbali na hapa nilipo hivyo siwezi tumia socket ya mtu mwingine
 
Hivo vidude ni majanga sana sijui kwa nini TANESCO hawataki kutengeneza mfumo ambao mtu akinunua umeme uingie moja kwa moja kwenye mita yake kama ilivyo ving'amuzi vya tv.
tena majanga haswa... na nikitoa ile sildi pale kwenye mita ili niingize kupitia pale ni kosa la kisheria endapo watakuja na kukuta pamefunguliwa
 
asalaam
moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme

sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio

na hata nikiulizia salio inagoma, mbaya zaid umeme umeisha na mimi ni mfanya biashara ya samaki na nyama hivyo endapo vitakaa pasipo umeme kuwepo maana yake nitaingia hasara kubwa sana kwan vyote vitaoza

nimereport tanesco kitengo cha dharura wamedai wapo mbali

sasa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili anipe msaada tafadhali kitu gani nifanye ili kuinusuru biashara yangu

aksanten ...nawasilisha
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Wewe ni mhuni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom