Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jmn thread moja hv. Ilikuwa inazungumzia kuhusu IMEI namba za Nokia pia ikaongelea kwamba nokia ambayo 7th 8th imei zake ni 02,20 ndio halali, msaada plz kama kuna mtu anaweza kuiweka tena hapa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hivi wadau window 8 ishatoka au bado maana nareceive alot of messages nakuona advertises zake sehemu mballimbali au kama bado kwa yeyote anayejua inatoka lini si vibaya pia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada jinc ya kutoa
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wajameni....Kutokana na matatizo na gharama za Maji nafikiria ku-recycle na kutumia tena Maji yaliyotumika kufulia nguo kwa kuyarudisha tena ndani ili ku-flush toilets etc.. Naomba msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mambo zenu, naomba kwa anayefahamu anielekeze jinsi ya ku unlock i phone 3. asanteni kwa ushirikiano wenu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ok wakuu nimeona vyema tujadili kidogo kuhusiana ni hili jambo nadhani baadhi mtakuwa meshaskia kuhusu web phishing na wengine mnajua ni kitu gani na wengine mnalisikia tu hili neno na kujua...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamani nina modem yangu imeweka error baada ya kuichakachua.ni huawei k4050.nahitaji msaada jinsi ya kuirekebisha
0 Reactions
0 Replies
743 Views
kuna some proxies nimezipta for facebook online ni 69.162.137.251 69.162.137.247 69.162.139.26 69.162.139.31 69.162.139.34 port ni 80, they work but not as a normal facebook mode unakuwa...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Jana usiku nilidownload video toka you tube, albam ya wayne, adobe flash player iliyokuja na antiv ya mcafee pamoja na gimp hii ni application zote nimetoa torrents kasoro hiyo adobe nilipata link...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nataka nibadilshe jina langu wadau naona hili limekaa too much official nakosa uhuru wa kuanf=dika vi2 so sensitive plz kwa yeyote anayejua anisaidie utaratibu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer. If this is the first time you've seen this stop error...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie hili mbona nipo magomeni na ninakosa 3g.au wenyewe tu mtandao mbovu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Scientists have discovered a new type of alien planet, 40 light-years from Earth. The new planet, GJ 1214b, is a steamy waterworld that is larger than Earth but smaller than Uranus. (Photo by...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Wanajamvi tafadhalini naombeni maujuzi ya kubaini sms au simu zilizoingia au kutoka kwenye simu ya mkononi hata kama zimefutwa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kama unayo please help. PM ni bora zaidi. thanks.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Kazi kwenu jamani! Kutoka Professor wa chuo kilichozaa Google Udacity - Educating the 21st Century CS101: BUILDING A SEARCH ENGINE Description: This class will give you an introduction to...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
What other devices emit microwave radiation? There are many other devices that emit the same radiation as Wi-Fi. These include: • DECT (digitally enhanced cordless...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najaribu kutumia tembocard mastercard online lakini haiwi recognized, ambaye anatumia au aliyewahi kutumia anielekeze
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Natumia Nokia 6300, tatizo ni kwamba nikitaka kudownload operamini naambiwa "no valid certificate". Tatizo hapa ni nini? Nifanye nini kusolve tatizo? Naombeni msaada wenu, Asanteni! One love!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…