Lets talk about hacking and i mean real hacking (web phishing) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lets talk about hacking and i mean real hacking (web phishing)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Dec 16, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok wakuu nimeona vyema tujadili kidogo kuhusiana ni hili jambo nadhani baadhi mtakuwa meshaskia kuhusu web phishing na

  wengine mnajua ni kitu gani na wengine mnalisikia tu hili neno na kujua labda inatumika kuhack for instance kama FACEBOOK and

  so forth first ningependa tujadili hii kitu inakuaje and how people do it.. na ni kweli kabisa if you play your cards right you can hack

  FACEBOOK, GMAIL, YAHOO e.tc 100%.. coz am talking about self experience kwa kufanikiwa kuhack.. first of all without goin

  futher forward ningependa ucheck hizi link mbili and tell me whats the difference au hamna difference na its the same thing:

  1.NIMESHAIDELETE HII PAGE

  2. Gmail: Email from Google
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  AND NILISAHAU.. DO NOT TRY TO LOGIN KATIKA ANY OF THE LINKS ABOVE! Nimeziweka so that u only look at it and tell wats the difference or there no difference. Ucije ukajaribu kulogin.
   
 3. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ya kwanza ni fake sio real gmail
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  yeah ur correct ehee so how did u knw that the first one is fake or watu wanapaswa kuwa makini wapi kutambuwa ipi ndiye na ipi siye and nat to be trapped?
   
 5. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ya pili ni fake kwa dns ila name ya nje zipo sawa
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Gmail: Email from Google hii inakuleta wenye fake page hii hapa accounts-google-loginphpid-305.my3gb.com/ unaona kabisa hiyo siyo domain ya google. ukienda My3gb.com - Free Web Hosting unaona ni webserver ya free.

  2. Gmail: Email from Google- Hii domain name ya google haina tatizo kabisa
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu chek again clearly ya kwanza ndo feki na ya mbili ni legit na ndiyo ya gmail

  Yeah exactly mkuu uko sawa kabisa na ndio iyo free host site ndo nilipo lihost hili fake page ya gmail.. So lets get back to.. so hapa whats the most important thing ni kwamba lazima you look at the url and i mean all of it mwanzo mpaka mwisho na kama ni website real na most especially kama gmail lazima iwe na domain name yake na isiwe under a subdomain in other words iishie na .com na sio
  kama kwenye apo juu my3gb.com.

  So mpaka now i think the idea of web phishing ina anza kuja.. na kuwa ni web fogery yani ni kuchukua original source code za website flani na ku edit kidogo inategemea na madhumuni yako na kuihost.. like kama iyo fake page ya gmail.. what it does ni kwamba uki ingiza email na password yako na kuhit login itaredirect kwenye original gmail page.. thus making u think labda mwanzo nilikosea kuandika au haikuload vizuri na ukaingiza tena na ikalogin like normal but the difference ni kwamba when you hit login hizo details ulizo ingiza were directed to me.. bila ya mtu aliweka hizo kutambua

  Sasa u must be thinking itakuaje mpaka ukaend up na iyo fake page au inawezekana vp ukadanganyika kiurahisi kiasi icho na kuweka hizo details.. oh let me tell you many have fallen for this trap. why ni kutokuwa makini na mtu alikuwa anataka kukuhack kufahamu kaweakness kako..so lets see what people could do.. na in the end nitelezea how i tricked a mass of people and this time it was facebook...

  1. Kwanza mtu anaweza kutegeneza email ambayo itaresumble na email ya kwamfano imetoka gmail.. coz kuna hizo email zipo ambazo zimetok kwao so wanacopy yale maneno kidogo and make a new email like.. noreply@gmail.com, admin@gmail.com e.tc, e.tc na also kwa facebook.. facebook@gmail.com, facebook@hotmail.com e.t.c.. coz mara nyingi email zikija people are more intrested in the content than the senders id na kuwa tricked easily.. iyo email inaweza ikasema kuwa kuna mtu alitaka kuhack account yako so for more security reasons please login to this page "fake page" na utafanya kama alivyosema and then tyari utakuwa hacked bila kujua ata kidogo

  OK SO TUMEONA NJIA YA KUANZA MTU ATAWEZA KUKUTRICK.. share your ideas na mnasemaje juu la hili kweli tuko makini na hivi vitu au tunapuuzia tu?
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Why would hack Facebook?
   
 9. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu u may never know madhumuni ya mtu na.. maybe hate, jealuosly au ata kukuframe yani kuna vitu vingi vinaweza mtu kukaa na kupanga plan ya kukuframe and things like that.. au unauliza why i did it? ok me nilifanya kwa fun with my friends tulibet ya kuwa ooh there is now way i can do it. so nika wa prove wrong and thats it but nothing personal ndo maana pia apa nitaelezea kidogo tu how it works lakini sitatoa scripts au way ya jinsi inavyofanyika coz watu wengine wana fikra mbaya na sitaki uhusika na uhalifu wowote.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  e2themiza

  So una maana nikiingiza ID yangu na password ya gmail kwenye hiyo fake page ya mwanzo wewe utazijua?
   
 11. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah exactly mkuu if you want try to do so.. weka neno lolote katika email na pass then hit login kisha i wii tell you umeweka nini :poa
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Lol tayari
  hiyo ni accunt mpya nimetegeneza so iteke jumla jumla uwathibithishie watu ilivyo rahisi
   
 13. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Duh mkuu haucheleweshi hehe hizi ndo details nilizopata i think ni definetly ni wewe ulioziandika:


  Email=kituko.mtazamaji
  Passwd=kitukomtazamaji
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sichelweshi sbabu haya majaribio nilishwai wahi kuyafanya. nina account za maigizo kibao . Yaani hiyo phising page iko kamil detail ulizotoa ni sahihi ila usisome siri zangu teh teh teh
   
 15. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu, nambie nimeandika nini?
   
 16. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  wewe utakuwa umeandika:


  Email=msaada
  Passwd=mkuujf
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok wakuu i think nimeshaeleweka so nai delete iyo fake page ilikuwa kwajili ya ku ilistrate tu
   
 18. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengine tumechelewa kuingia JF,kama vp we irudishe kwanza
   
 19. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hebu irudishe fanya kama somo linaanza upya wengine tumechelewa mkuu.
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Most wanapenda kuhack account za wapenzi wao kuona kama wana wacheat huko facebook.
   
Loading...