Acha usenge ww kama huna koment xepa humu
Punguza jazba kijana,duuu una hasira hata mkizi hafui dafu,unajua huku ndani kunawatu kazi zao ni kukera wenzao tuu,punguza munkari baba!!!Acha usenge ww kama huna koment xepa humu
bado tuu hajapata tiba ya simu yake??Haki aMUNGU nimecheka mpaka basi....., oya ilo tatizo watakuzingua tu humu we peleka kwa fundi akanyonye wino sh. elfu 25 ndio solution........
Jina lenyewe bayaaaaa