change your name | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

change your name

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mndengereko, Feb 21, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  nataka nibadilshe jina langu wadau naona hili limekaa too much official nakosa uhuru wa kuanf=dika vi2 so sensitive plz kwa yeyote anayejua anisaidie utaratibu
   
 2. engineerm

  engineerm Senior Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fungua jukwaa la siasa,ukifungua pale juu utakuta kuna haya maandishi'' Announcement:Karibu JamiiForums.com (A Welcome Note) Invisible (Robot)'' Then click neno ''invisible'',then tuma messege kuwa unataka kubadilisha jina pia mpe jina mpya unalotaka kulitumia,then baada ya dakika 10 tu litabadilishwa.all the best mkuu.


   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ukitaka kubadilisha jina lako cha kufanya ni kuwaandikia SMS admins!
  NOTE: ukishawapa taarifa kuwa unahitaji jina flan then after sometimes ukitaka ku-login utapidi uweke ilo jina ulilowaomba wakubadilishie.. Unles otherwise ivyo ndivyo nijuavyo..
   
 4. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Umeshabadiri au Kirondomara?

  Ila mie sina uhakika kwani ukibadili jina old posts zako zitaondoka?

  As umejitangaza wengine kama sie itakuwa rahisi mtu kukufatilia kama anataka kwa kuangalia mengi. Ulijiunga lini activity zako za jina la zamani hadi dakika za posts zako etc

  Sasa kwa usalama wako wasiliana na Invisible pia muombe akusaidie kudeleta chochote kitakachokuweka bado katika jina la zamani.

  Ila kwa nini hukufungua account ingine ukawa na MBILI ya wewe uiache na ya ubaya?
   
Loading...