Tulizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 848
- 664
Wajameni....Kutokana na matatizo na gharama za Maji nafikiria ku-recycle na kutumia tena Maji yaliyotumika kufulia nguo kwa kuyarudisha tena ndani ili ku-flush toilets etc.. Naomba msaada wa mawazo toka kwa wale wenye uzoezi na mambo haya ya ku-recycle Maji .. Je kuna dawa naweza weka? Inapatikana hapa bongo?
