g.n.n
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 407
- 49
Jana usiku nilidownload video toka you tube, albam ya wayne, adobe flash player iliyokuja na antiv ya mcafee pamoja na gimp hii ni application zote nimetoa torrents kasoro hiyo adobe nilipata link toka FB cha ajabu asubuhi nimejaribu kuwasha pc inastack wala haifanyi chochote though inaonyesha mafolder yaliyopo kwenye jesktop je nifanyaje nirudi kama zamani kwenye matumizi ya kawaida?