No valid certificate

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Natumia Nokia 6300, tatizo ni kwamba nikitaka kudownload operamini naambiwa "no valid certificate". Tatizo hapa ni nini? Nifanye nini kusolve tatizo? Naombeni msaada wenu, Asanteni! One love!
 
nenda u-sate vzr configuration,ziwe ni za line unayotumia e.g km line ya tgo, inabidi u-activate comfiguration za tigo then una activate to all application.(km nokia original utaona pameandkwa activate default in all applction).
 
Natumia configuration ya ZNET lakini situmii line ya Zantel, je hii ndo itakuwa tatizo?
 
...chagua ilioandikwa "no certificate" kwenye "other download option"
 
Natumia Nokia 6300, tatizo ni kwamba nikitaka kudownload operamini naambiwa "no valid certificate". Tatizo hapa ni nini? Nifanye nini kusolve tatizo? Naombeni msaada wenu, Asanteni! One love!

Nimetokea kuichukia nokia kwasababu ya error hii' si ishu ngoja nikuchekie solution nikudondoshee jamaa angu! Pole sana
 
Nichekie jamaa angu, utakuwa umenisave sana kwakuwa sasa simu hii imekuwa kero!
 
Back
Top Bottom