Msaada mwenye kujua

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer.

If this is the first time you've seen this stop error screen,restart your computer........

MSAADA JAMANI.
 
Washa huku ukibonya bonya F8. Utapata menu ya kuchagua Safe Mode. Ingilia hapo halafu nenda karekebishe. Au chagua Safe Mode with Command Prompt, then run CHKDSK.
 
Washa huku ukibonya bonya F8. Utapata menu ya kuchagua Safe Mode. Ingilia hapo halafu nenda karekebishe. Au chagua Safe Mode with Command Prompt, then run CHKDSK.

Mkubwa nashukuru.Nikisha run CHKDSK alafu....
 
hapo una check disk, ukimaliza restart. Kwa msaada zaidi nenda google andika hiyo problem kama ulivyoquote hapo, ongezea Go to mwishoni, search.
 
Baada ya ku run CHKDSK imeleta.......
C:\windows\system32>_
 
Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer.

If this is the first time you've seen this stop error screen,restart your computer........

MSAADA JAMANI.

unaformat vipi? yani unaenda tu pale my computer una right click hard disk halafu unachagua format? kama ni hivyo, basi haiwezekani kuformat hard disk inayocontain windows bila kutumia CD
 
inawezekana ni antvirus au security feature inahisi ni Virus anyetaka kuformat so inazuia. . Unataka kuformat kwa njia gani DOS au GUI?

AU Fany hivi kama umesha back up data zako zote format mashine wa kutumia Windows DVD. Zima mashine. Ingiza DVD, restart mashine . Fanya installtion upya ka ku create partition upaya na sio repair.

Tatizo la mashie uwa nzito inawezekana umeweka antivirus mbili kwenye backround zinaiweka mahine busy sana kwani kila moja inaone mwenzake ni tatizo. Lakini kwa kuwa umeamua format endelea na format
 
Kama wewe ni mjuzi wa mambo ya computer fanya haya kama hujui basai jitayarishe kutoa pesa.

Hapo juu kuna mtu amekushauri u google kama ulivyouliza hapa as lazima utakutana na forums zinaongelea hili ingia usome unaweza solve tatizo lako ukielewa wanasema wamefanya nini etc

Pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom