window 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

window 8

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mndengereko, Feb 21, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  hivi wadau window 8 ishatoka au bado maana nareceive alot of messages nakuona advertises zake sehemu mballimbali au kama bado kwa yeyote anayejua inatoka lini si vibaya pia akituhabarisha.
  thanx in advance
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ina gharama zake hiyo, inabidi uwe na kitu chenye touch screen. Ipo trial version, fata hii link: Download Windows 8 Trial Version ~ TECH INFO & DOWNLOAD
   
 3. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  kama ndiyo hivyo basi akna kayumba tutaishindwa mpaka touch?mmh!!!!!
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Utakayodownload ni preview tu, haitakusaidia sana maana hata mimi ndiyo ninayotumia hapa.
  Kuna baadhi ya pc ukiinstall inasumbua kuunga kwenye internet.

  Kitu cha ukweli kinatoka kuanzia March, so kama vipi unawezasubiri. Only few weeks left mkuu.
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hivi ni 'Window' au 'Windows' acheni kuchakachua majina ya watu bana.
   
 6. Decapitator

  Decapitator JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndiyo mkuu, Developers preview ndio ishakua released, hyo ipo hat mi ndio nnyotumia!
   
Loading...