Msada :Jinsi ya kubaini sms na simu zilizopigwa hata kama zimefutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msada :Jinsi ya kubaini sms na simu zilizopigwa hata kama zimefutwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wamichosho, Feb 21, 2012.

 1. w

  wamichosho JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi tafadhalini naombeni maujuzi ya kubaini sms au simu zilizoingia au kutoka kwenye simu ya mkononi hata kama zimefutwa
   
 2. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ingia kwenye logs utaona records zote...sema haitakuonyesha the contents bali wewe utaona tu kama ni sms imeingia kutoka kwa nani au imetumwa kwenda kwa nani na kama ni simu imeingia kutoka kwa nani na imepigwa kwenda kwa nani..
  ni hayo tu
   
 3. Ikeli Nagiva

  Ikeli Nagiva Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka vipi kuna mtu anakufanyia ndivyo sivyo?
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  inategemea na simu
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Pythons softwares zinaeza fanya hivo install pythons kwanza then i will tell u wat to do
   
Loading...