Keeping our vernacular languages alive.

Pendekezo ni kutumia technology kama hii kuwezesha lugha zetu kudumu. Mimi mzawa wa mjini, jina zito la nyumbani lakini hata salamu za kilugha sizijui vizuri, shuleni kulikuea forbidden kuongea vernacular hapo basi opportunity ya kuijua lugha yangu ikapotea.
Solution kama hii inaweza kusaidia kujifunza kugha kidogo kidogo, na watu wote wakichangia, basi utakuta matumizi, jinsi ya kuandika nk yatawekwa hewani : written, pronounciations etc, na hapo utaweza kwa muda wako kujifunza angalau hizo salamu...
Kiswahili chenyewe shida, R's na L's tabu tupu, tenses etc....
Kama walivyoeleza kwenye video yao nadhani hii itakuwa a good "free" solution to compete with the likes of Rosettastone (bloody expensive)...
 
Why have u thought about vernacular languages and not Swahili so claimed to be national language????? My view is we should push for Swahili to be in as many computer application as possible.

I once asked/ conviced some fellow JF tech gurus in here to work together to have Swahii language pack in popular Free CMS like Joomla/Drupal /Worpdpress but no one is/was interested. You sometime find igbo, afrikanar and even kinywanda langauge in language option of some application but not swahili....

Na bado kuna watu na wanasiasa wanataka Kiswahii kiwe lugha ya kufundishia sekondari na elimu ya Juu wakati infastructure na resorsec muhimu ziko kwenye lugha za watu....

If its hard for kiswahili then its mission impossible for those vernacular.

Unajua wengine tunachapia sana niliwai uliza pia ni kitu gani kinahitajika kuwa na Plugin ya spell chekcer ya kiswahili kwenye window kama hii ya JF(Vbulletin).. Nadhani tuanze na mambo kama hayo then ndio tue kwenye vernecular
 
Na wewe mwali jamani usiwe unashia tu kule. Toka umeweka bandiko na kuweka link ukapotea. Hii jamvi la tek linakosa "wanawali kama wewe ". Ukiwaouna na Preta na Lizzy(kwa mandishhi) wape nao ujumbe huu..... lol.
 
Mtazamaji, hii solution ni ya kujifunza na sio ku'internationalize hiyo application.
Kweli Joomla ikiwa in swahili tutaiweza? nilijaribu ku'install OpenOffice Swahili version, na menu bar yenyewe iliacha hoi, the translations za maneno ki'technologia bado sana kuwa lugha ya kawaida... Niliachia tu barua pepe, kingamuzi nk, sasa full application kama Joomla kubadirisha inakuwa vigumu kidogo kwani ku'implement a proper website unahitaji kutumia add-ons ambazo zimeandikwa na watu wengine, sasa hapo kazi ni kuzi'internationalize nazo itakuwa ni kazi kubwa kidogo...
 
kotinkarwak
ok nimekuelea ila unapouliza kama Joomla ikiwa kwa kiswahili tutaiweza Jibu ni ndio. Ttaiz unaoongea kuhus kwenye application nyingi ni watu ujaribu utafuta pafect swahili. hata ichina sababu ya muingiiano leo hii kuna Simiefied chinese na real chinese. Hii simpiefieed chned nadhani ilikuja ili kukidi muingiiano na jamii mbali mbali.

Sasa kwenye kiswahili kutafisiri wataalam waneweka mkazo wa wa kiswahii na sio lazima kiwe kiswahii fasaha. Hivyo ndio Lugha inakua. Neno Save ligeweza hata kutafsiwiria kuwa Sevu .. Copy inaweza kuitwa Nakili lakini kama neno file inaoneana litawachaga watu basi liitwe faili. Tunataiwa tuwe na Technical Swahili amabacho si fasaha lakini ni kiswahili . Kwa stye hiyo japo neno si fasaha lakini lingewarahishia watu na hata taratibu na baadae ndio tungehamia kwenye tafsiri ya mamneo magumu.
Wanachokosea hao wanaotafsiri ni kukosa consderation kwa user na wanaconcetrate kwenye ufasaha wa tafsiri tu.

Hata kwenye vernecualr languages ni hivyo hivyo. utatfisiri vipi HDD.???? sana sana kurahishisha na kueleweka utakuta unaonegeza hefufi chache mbele au mwisho ( eg Ji-HDD au e -HDD au I-HDD). ukitaka kuwa sahihi zaidi basi ni wachache watakuelewa.... japo utakuwa sahihi

So its possbile. if we put usability and other things into into consideration and not only correct langauge translation.


Kwa status ya Kiswahili ilitakiwa tasisi kuu ziwe na watu wenye mambo ama haya
Today W3C announced new work to make it easier for people to create Web content in the world's languages. The lack of standards for exchanging information about translations is estimated to cost the industry as much as 20% more in translation costs, amounting to billions of dollars. In addition, barriers to distributing content in more than one language mean lost business. Multinational companies often need to translate Web content into dozens of languages simultaneously, and public bodies from Europe and India typically must communicate with citizens in many languages. As the Web becomes more diverse linguistically, translation demands will continue to grow. The MultilingualWeb–LT (Language Technology) Working Group will develop standard ways to support the (automatic and manual) translation and adaptation of Web content to local needs, from its creation to its delivery to end users. Read the press release and learn more about the W3C Internationalization Activity. The MultilingualWeb-LT Working Group receives funding from the European Commission (project name LT-Web) through the Seventh Framework Programme (FP7).

source http://www.w3.org/
 
Ukipata nafasi angalia

OpenOffice.org goes Swahili | Application Development | ZDNet UK

pia

First Swahili office suite released in Dar es Salaam, Tanzania - Wikinews, the free news source

The Kiswahili Linux Localization Project: OPENOFFICE Archives


Sikumbuki wapi download file lilipo ...

Sifahamu kama hii project is still alive au funds ziliisha, lakini hata hapo walipofikia sioni kama publicity ilifanyika ya kutosha, kwani sidhani kama downloads zilizidi a handful kwa waliokuwa curious tu na hii project, Je kuna yeyete anaitumia kama word processor yake kila siku?

On learning/Taching language, simaanishi kuwa tu'translate application lakini kujifunza mfano:


1). Naenda sokoni kununua matunda
2). Naenda sokoni kumnunulia Issa matunda

Yote kwa lugha ya Kingoni, kama mfano, watu watachangia spelling in kingoni, pia matamshi sahihi ya maneno hayo pia jinsi ya kuyatumia. Majibu yakishatimia, basi panakuwa na quality control ambayo itahusika kuhakiki hayo majibu na kutengeneza formats mbadala i.e. wav files, lip-sync kuwawezesha watu wengine kuitumia hiyo lugha kwa ufasaha.
Hapo ndio itabidi kuwapata champions wa lugha, lakini sioni kama hilo ni tatizo...
The same pia inabidi ipate equivalent majibu in the other languages, hapo kutengeneza a database of completed words/sentences.

mfano: angalia site ya http://www.rosettastone.co.uk/ kwa mifano hai (english/french/spanish)
 
Back
Top Bottom